Dogo miaka 9 atoa talaka ya Gf wake!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
804
Hapa mtaani kwetu Jana tumeachwa hoi kwa kituko dogo mmoja wa std 3 alichofanya. Kuna mama mmoja afahamikae kwa Jina La Mama Pamella, huyu mama amekuwa akimtania dogo anampenda na kumwita dogo mme wake, Hatua ya kwanza aliyoichukua dogo ni kumwandikia Barua ya mapenzi rasmi kumtongoza, kwa maneno makali na kuchora Kopa kabisa, hiyo ilikua valentine day. Hv karibuni mama pamela amekuwa akimtania kuwa amepata bwana mwingiene,so jana Dogo akaja na maamuzi, KAANDIKA TARAKA RASMI, Kamkabithi mama pamela, mwanamke wawatu kashangaa kwa matendo ya mtoto, katuita, katoa na Barua ile ya Valentine Duh! Huyu dogo sijui vipi, mdogo bt kakomaa akili, Au ndio dalili kuwa ana kipaji? Kazi kweli!
 
dogo anaonyesha kipaji binafsi....hahaaa mama pamella sasa ndo angeshangaa dogo angemtoa jasho siku angejidai kumtania kumpa game
 
Hapa mtaani kwetu Jana tumeachwa hoi kwa kituko dogo mmoja wa std 3 alichofanya. Kuna mama mmoja afahamikae kwa Jina La Mama Pamella, huyu mama amekuwa akimtania dogo anampenda na kumwita dogo mme wake, Hatua ya kwanza aliyoichukua dogo ni kumwandikia Barua ya mapenzi rasmi kumtongoza, kwa maneno makali na kuchora Kopa kabisa, hiyo ilikua valentine day. Hv karibuni mama pamela amekuwa akimtania kuwa amepata bwana mwingiene,so jana Dogo akaja na maamuzi, KAANDIKA TARAKA RASMI, Kamkabithi mama pamela, mwanamke wawatu kashangaa kwa matendo ya mtoto, katuita, katoa na Barua ile ya Valentine Duh! Huyu dogo sijui vipi, mdogo bt kakomaa akili, Au ndio dalili kuwa ana kipaji? Kazi kweli!

Sasa ngoma ingekuwa wa kiume ni mkubwa, wa kike ni mtoto halafu anaomba talaka . . . .
 
Dogo ameshatoa talaka tayari, mama pamella sijui atakuja na lipi? Au kumwambia dogo hana sera? hahahahaahahahahhah...
 
Yani simpatii picha huyu mtoto ukubwani itakuwaje, duh! Kazi ipo, wazazi na wazae!
 
Mama Pamella angempa game kwanza kabla ya kutoa ushuhuda kwa watu ili aone kama dogo amekomaa au ni ubunifu tu.
 
this kid got a future .... :nerd: ... kaanza kujifunza talaka mapema hivi
 
daaah i wish gaude wangu angekuwa hivi ...ningekuja kumvika nishani one day kwa utumishi wa muda mrefu kwenye fani na haiba bora ya kujituma na kuwa na jitihada binafsi kwenye mambo ya kijamii kama haya ....dogo yuko talented...
 
Nimempenda he takes no nonsense; anajua nini anastahili au nini anaworth ndio maana alivyoona mama Pamela anaanza kuangalia wanaume wengine akaamua kujivua gamba (getting rid of cheating mama pamela)

Natamani angekuwa mtoto wangu! Napenda mtu asiyevumilia upuuzi!
 
Hapa mtaani kwetu Jana tumeachwa hoi kwa kituko dogo mmoja wa std 3 alichofanya. Kuna mama mmoja afahamikae kwa Jina La Mama Pamella, huyu mama amekuwa akimtania dogo anampenda na kumwita dogo mme wake, Hatua ya kwanza aliyoichukua dogo ni kumwandikia Barua ya mapenzi rasmi kumtongoza, kwa maneno makali na kuchora Kopa kabisa, hiyo ilikua valentine day. Hv karibuni mama pamela amekuwa akimtania kuwa amepata bwana mwingiene,so jana Dogo akaja na maamuzi, KAANDIKA TARAKA RASMI, Kamkabithi mama pamela, mwanamke wawatu kashangaa kwa matendo ya mtoto, katuita, katoa na Barua ile ya Valentine Duh! Huyu dogo sijui vipi, mdogo bt kakomaa akili, Au ndio dalili kuwa ana kipaji? Kazi kweli!

Hii inatokea tu, kwa mtoto mdogo kumtania yeye huwa anafikiria ni kweli kabisa. Hata mie niliwahi kusimuliwa kisa kimoja na rafiki yangu kuwa, kuna bibi mmoja alikuwa anamtania mjukuu wake wa kiume kuwa ni mumewe, Yule bibi alizoea siku zote kumuita yule mtoto mume wake.

Siku ya siku yule mtoto akamwambia yule bibi ataje kitu chochote anachotaka ili amlipe kama fidia kwani hatoweza kumuoa. Kwa hiyo watoto wadogo hawajui utani na ukweli. Kwa mujibu huo si vemakuwatania watoto wadogo manake hawaelewi maana ya utani!
 
Back
Top Bottom