Dodoma yafurika

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
niliwambia ntawaletea hali ilivyo dodoma bunge likianza kuhusu wenzake comeroon,dah kweli wameanza kutua sasa hv nmeona mmoja ametoka gest anaingia kazi
 
Hivi sikukuu ndio zishaisha au maana sielewi elewi kama kazini kama kawa au tuendelee kuchinja nyama tule?
 
Mkuu! Hapo kuhusu sikukuu ndiyo bado naungana nawe kwn cjui kama imeisha! Na hakika tumekosa wa ku2juza kabisa humu jamvini! Kazi kweli kweli!!!
 
Sikuu ya hii Eid huwa no siku moja tu wakuu kwa hiyo leo kazini kama kawa
 
Back
Top Bottom