DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Ngoja msemaji wa Jeshi athibitishe ndio chanzo sahihi

Si ajabu ukasikia siyo risasi ni vidonda vya tumbo, au ukaambiwa ni wateja wake walioshindwa kesi!. Au !. mhhh. Ni ngumu kufikiria. Acha kwanza!.

MUNGU NAOMBA UMPONYE LISU NA WATANZANIA WAZALENDO WOTE!. MUNGU IREHEMU TANZANIA NA WATU WAKE MASKINI. MUNGU SIMAMA KWA AJILI YA TAIFA LA TANZANIA. NINAOMBA SAS AMKONO WAKO UONEKANE. NINAOMBA MUNGU UJITUKUZE, IJULIKANE NANI MUNGU WA KWELI KATI YAKO NA WANAFIKI!.

MUNGU TUHURUMIE SISI NA VIZAZI VYETU.

MUNGU NAOMBA UFANYE MAKAZI YAKO KATIKA TANZANIA.

MUNGU NAOMBA KATIKA HILI UJITWALIE UTUKUFU.

KATIKA JINA LA BWANA YESU KRISTO ALIYEHAI MILELE NIMEOMBA. AMEN AMEN AMEN KATIKA JINA LA YESU.

WATU WOTE TUSEME AMEN.
 
Mtujuze kama ni polisi au watu wasiojulikana wamefanya mambo
Taratibu nchi inapelekwa kule tusikopenda ipelekwe. Watanzania wamesifiwa amani na wamekuwa wavumilivu muda mrefu. Njia za mkato zinatumika kunyamazisha hoja za wana wa Tanzania. Je nini matokeo ya mwisho? Yeyote auae naye mwisho wake ni upi? Ikiwa watu wanasimama na kujinadi kuomba ruhusa za kuua na wanasifiwa kama si kuachwa matokeo ni yapi? Ikiwa matukio ya kinyama yanafanyika na yanashangiliwa nini matokeo ya Mwisho?
Watu wasiojulikana!!! Watu wasiojulikana bado hawatataka kujulikana...
 
Acha ujinga wa kumtetea uchwara wako
Leo kwake kesho kwake.
Hata Hitler akukosa watetezi wake na mmoja wapo ni kama wewe

Wapi nimemtetea mtu mimi? Nimeonyesha nadharia mbali mbali. Kwanini uhisi ni serikali? TL ana mahusiano mbali mbali na anaweza kutengeneza maadui popote. Inawezekana ni Mabepari wanataka kutengeneza taharuki.
 
Back
Top Bottom