Uko sawa wametangulia, walizindua LAKINI sasa ni karne ya 21, why do this silly thing? kwa kajengo tu! Kama tungelikuwa tunazindua bullet train to Mwanza/Kigoma, then nitakubaliana na wwe kabisa, not vijengo jengoNdiyo walishawahi kufanya hivyo miaka mingi sana huko nyuma walipokuwa kwenye hatua ya maendeleo sawa na ile tuliyonayo sisi sasa hivi. Wao wako mbele, sisi tuko nyuma yao