Duzente Siqwente
JF-Expert Member
- Aug 6, 2012
- 265
- 59
Wana jf mliopo dodoma nipo kwnye mji wenu nmeingia usiku huu kesho naomba tutaftane jaman plz
ntakuwa dom tutachekiana
duh,huz kila nikikumbuka kuwa siku za kuondoka zimekaribia moyo huwa unakurupuka sana. plz usisemeseme sana kha!
Wana jf mliopo dodoma nipo kwnye mji wenu nmeingia usiku huu kesho naomba tutaftane jaman plz