DODOMA; Mh Kombo Khamis Kombo amuomba mh Spika hawaruhusu Waheshimiwa Wabunge walie kwa dakika mbili

kiukweli spika angelicha bunge limwage machozi tungeingia kwenye kitabu cha maajabu ilka nafurahi kuzaliwa Tanzania Twiga wanasafirishwa kwenye ndege Jamani TANZANIA YANGU nakuonea huruma
:A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry:
 
Huyu naye.....

Hivi anafikiri tunafurahishwa na hizo tabia za kulialia? Au ndio kumsupport mtoto wa Mkulima?
 
Back
Top Bottom