DODOMA; Mh Kombo Khamis Kombo amuomba mh Spika hawaruhusu Waheshimiwa Wabunge walie kwa dakika mbili

Kutoka ktika kulalamika hadi kulia, hatunaviongozi hapa, badala ya kuchukua maamuzi magumu wanalia? Its shame.
 
Nyie ombeni ruhusa ya kulia huko Dodoma; mwenzenu mkweree anakula bata marekani!!!
 
Katika hali isiyotarajiwa na wengi mh. Kombo amuomba spika aliruhusu bunge lilie kwa dakika mbili kama kanuni zinaruhusu hivyo.

sijui kama kanuni za bunge haziruhusu wabunge walie,mbona PINDA alipotaka kulia hakuomba mwongozo au ruhusa kwa 6 na wala hakuambiwa kama alivunja kanuni za bunge kulia hadharani mbele ya taifa zima!
 
Teh teh, kwa hiyo badala ya kutetea watanzania kwa hoja wameamua kulia? Kweli vituko na majanga kwa wabunge wetu!
 
Wahenga walisema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Natamani spika angeruhusu walie hii ingeingizwa kwenye guiness book of records na kuwa miongoni mwa maajabu ya dunia. Tanzania raha kweli kila siku hatuishiwi visa vya kutuchekesha. Lol!!! Euwiiiiiiiiiiiii wengine ejooooooi mara maweeeeeeeeee burudani tupu
 
Back
Top Bottom