Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Jangwani alafu ndio wanaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Tende,Mtama,Uwele,Rosella bila kusahau soko la kimataifa la nafaka Kibaigwa pamoja na vihenge/maghala makubwa kupita yote Afrika Mashariki na kati ya kuhifadhia mahindi yanayomilikiwa na NFRA pamoja na WFP/FAO
Nani asiyofahamu mazao hayo yote yanastawi kwenye hali ya ujangwa?
 
Wewe sasa ndio umejibu kihisia na sio kiuhalisia ili kuisapoti Mwanza hauna point yoyote specifically ya kujustify zaidi ya blaaaah blaaaah
1.Bajaji sio usafiri mkuu wa Dodoma kama unavyosema.Dodoma ndio jiji pekee Tanzania lenye mtandao mpana wa barabara za lami.Mwanza,Shinyanga na Bukoba bado wanatumia usafiri wa baiskeli kwenye vichochoro/barabara zao za vumbi
2.Biashara ya nyumba za kupanga Dodoma ni hot cake.Watu wametajirika ndani ya kipindi kifupi baada ya serikali kuhamia rasmi Dodoma.Demand ya nyumba za kupanga Dodoma ni kubwa sana na madalali wameitumia hiyo fursa vizuri.Nakushangaa unavyodanganya eti kuna nyumba zinakosa wapangaji.Waulize wafanyakazi wa serikali wanaohamishwa Dodoma wanavyopata taabu kutafuta nyumba za kupanga
3.Unakiri kwamba maghorofa mengi yanajengwa Dodoma lakini unasema yanajengwa na Serikali....tukuulize swali ni Serikali ya nchi ipi hiyo Rwanda au Burundi
4.Unasema kipindi cha Bunge likiisha Dodoma kunakua hakuna watu....tukuulize huko Mwanza vyuo vya SAUT na Bugando vikifungwa mji unakua na the same vibe ya sikuzote au kuna biashara nyingine nazo zinafungwa kabisa
Huo mtandao mpana wa barabara ni upi mbona sisi hatuooni
 
Dom kama mbele yaani 🔥🔥
20230712_194104.jpg
20230712_110913.jpg
20230703_163629.jpg
 
Kuna battle hata hazinogi, Dom haiko level za Arusha kwa mbali sana. Arusha inapitwa na Dar tu! Mwanza inaipita Arusha population lakini Arusha inabakia jiji la kijanja na linalovutia kwa majengo, starehe na usasa.
 
Ungezea mwanza inaizid arusha mpaka uchumi
 
Kwani wapi nimesema naijua vizuri? Kwanza sihitaji kujua Kila pande ya Mji.

Mfano wewe unaijua Mbeya yote?
Mbeya yote siijui, ila CBD naijua... wilaya kama ya Mbarali naijua kidogo maeneo ya Igawa... Chunya nafahamu maeneo ya madini lakini sio maeneo yote... Siwezi kusema nimeenda Kyela basi hadi Nane nane napafahamu... Sawa sawa na wewe ulivyosema umesoma Karatu na kukaa kidogo Elerai basi unayo 'idea' ya Arusha...

Dodoma napafahamu, Arusha ndio balaa kuanzia Arusha CC, Arumeru, Monduli, Longido, Karatu mpaka Loliondo (Ngorongoro) hizo wilaya zote za Arusha hauwezi linganisha na za Dodoma kama Bahi, Kongwa, Mpwampwa na nduguze...

Arusha ipo mbele zaidi ya Dodoma... upande wa CBD hata Wilayani...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ila sasa hivi Arachuga yetu imechakaa sana. Vijana pale Sakina Mataa wanakula Shisha na Nyagi kwa kwenda mbele baa ya Boss. Dodoma sasa hivi inakimbiza sana. Baada ya miaka 10 ijayo itakuwa habari ya mjini.

Mziki mpya kuhusu Arachuga umeusikia? Kautafute fasta.
Sakina Mataa ndio wapi...?! unaongelea Muziki wa Fido Vato na Chui (Rayvanny)...?!

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kuna battle hata hazinogi, Dom haiko level za Arusha kwa mbali sana. Arusha inapitwa na Dar tu! Mwanza inaipita Arusha population lakini Arusha inabakia jiji la kijanja na linalovutia kwa majengo, starehe na usasa.
Starehe zipi...?! Ujanja upi...?! Mwanza naijua ni balaa... na Arusha naijua yote Wilaya zote...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Arusha kuilinganisha na Dodoma ni matumizi, mabaya ya simu zenu,,, Dodoma itaizidi hadi Dsm majengo ya serikali tu,, basi kwingine hamna kitu, na project nyingi za Dodoma zitakua white elephant, sioni mtu wa kuishi Dodoma hata hao wafanya kazi wa hizo taasisi za kiserikali, familia zao zipo dsm, hapo ni kazi weekend Dsm,, Mfano soko la Dungai mpaka sasa wanafugia popo, hakuna watu humo,, Nyumba za NHC hazina watu hapo jangwani yamebaki kuwa mapambo na makazi ya mijusi na n'geo, Binafsi
 
Haya miaka ya badae yatakuwa magofu..hivi unadhani ukiacha na shughuli za kiserikali nani anataka Aishi Dodoma?
😀😀na hii ni another advantage Dodoma iliyokua nayo kulinganisha na majiji mengine yote ukitoa Dar pekee.Serikali itaendelea kuwekeza na kupendelea jiji la Dodoma utake usitake.Makao makuu ya nchi,Jiji yanapofanyika maamuzi yote makubwa ya kitaifa na kisiasa haliwezi kuwa sawa na wengine.Mfano mzuri angalia Abuja,Nigeria wakati Abuja inatangazwa kuwa makao makuu ya Serikali ilikua inapitwa kwa mbali sana na Lagos,Jos,Ibadan,Port Harcourt na miji mingine ila kwa sasa baada ya uwekezaji wa Serikali Abuja inapitwa na Lagos pekee yake
 
Mbeya yote siijui, ila CBD naijua... wilaya kama ya Mbarali naijua kidogo maeneo ya Igawa... Chunya nafahamu maeneo ya madini lakini sio maeneo yote... Siwezi kusema nimeenda Kyela basi hadi Nane nane napafahamu... Sawa sawa na wewe ulivyosema umesoma Karatu na kukaa kidogo Elerai basi unayo 'idea' ya Arusha...

Dodoma napafahamu, Arusha ndio balaa kuanzia Arusha CC, Arumeru, Monduli, Longido, Karatu mpaka Loliondo (Ngorongoro) hizo wilaya zote za Arusha hauwezi linganisha na za Dodoma kama Bahi, Kongwa, Mpwampwa na nduguze...

Arusha ipo mbele zaidi ya Dodoma... upande wa CBD hata Wilayani...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Tittle ya thread ni Dodoma City vs Arusha City sio Dodoma Region vs Arusha Region.
Unasema Arusha CBD imeizidi Dodoma CBD kwa kipi labda....ebu tupe factors halisi kwamfano miundombinu,mipango miji n.k
 
naomba Five Star hotel za Dodoma... nipatie Ghorofa kama ile ya Ngorongoro tower na PAPU kwa upande wa Dodoma ni zipi...?! ukumbi wa mikutano kama ule wa AICC upande wa Dodoma... makusanyo ya TRA, upande wa GDP, Makazi mazuri ya Arusha...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
naomba Five Star hotel za Dodoma... nipatie Ghorofa kama ile ya Ngorongoro tower na PAPU kwa upande wa Dodoma ni zipi...?! ukumbi wa mikutano kama ule wa AICC upande wa Dodoma... makusanyo ya TRA, upande wa GDP, Makazi mazuri ya Arusha...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
1.Hoteli Dodoma- Bestern Western City Hotel,Morena,St Gaspar,Royal Village,Dodoma Hotel,Nashera,Rafiki Hotel n.k
2.Kumbi za mikutano-PSSSF Kambarage Tower,St Gaspar Conference Centre,African Dreams,Mabeyo Complex n.k
3.Makazi mazuri- Dodoma ndio Jiji pekee East Africa lililopangiliwa makazi bora na mipango miji.Ukitoa mitaa michache ya uswazi kama Chang'ombe,Chadulu ,Kizota na Mkalama kwengine kote ni ushuani kila nyumba geti na fensi
4.Mapato TRA Dodoma ndio inaongoza inapitwa na Dar pekee angalia link apo chini

Hizo hotel ulizotaja ni nyota tano...?! kama ni bora hotel Arusha zipo nyingi...

Hizo kumbi za Mikutano zina lingana na AICC...?!

Apartments na makazi ya Arusha ni bora... upande wa nyumba AICC wanazo nyingi, NHC na wengine kama kule PPF...

Leta chanzo cha taarifa yako ya kwamba, Dodoma inaipita Arusha kwa mapato ya TRA... nakuhakikishia hata kwa Kilimanjaro haifiki...
 
Back
Top Bottom