Unaruka ulichokisema mkuu!?Dom barabara zote main roads ni lami tupu,barabara zote city center ni lami tupu,barabara zote za kuifikia mitaa kwa daladala ni lami tupu hadi ndani ndani huko Nkuhungu n.k.
Hizo za vumbi unazoongelea ni street roads.
Si ulisema Dodoma city kuna mtandao wa barabara hadi mitaani/street roads!?
Tuachane na hilo.
Mbona hata Tabora sasa hivi kuna mtandao mkubwa wa barabara na mainroad zote zimeunganishwa na mtandao wa barabara mkuu!?
Unachokieleza hapo kuhusu barabara mikoa mengine kinafanyika.
Dodoma hii inakua hatukatai TENA INAKUA SANA ila tuipe muda kaka musianze ipaisha sasa hivi.
Ipeni walau miaka 5 mbele kwanza.
Munawahi sana kuipamba.