Doctor wa macho

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Natafuta Doctor specialist wa Macho naomba msaada. Kuna mtoto wangu amekuwa affected jicho lake la reflection ya mwanga mkali wa projector. Je atumie dawa gani?
 
Pole mkuu, Kama upo Dar unaweza kwenda CCBRT kuna madaktari Wa macho
 
Natafuta Doctor specialist wa Macho naomba msaada. Kuna mtoto wangu amekuwa affected jicho lake la reflection ya mwanga mkali wa projector. Je atumie dawa gani?

Mshkaji mtoto huyo anahitaji kwenda hospitali achunguzwe extent ya damage kwenye jicho lake hilo na apewe matibabu husika..huyo si wa kumuulizia atumie dawa gani kwenye mitandao ya kijamii! CCBRT ni pazuri zaidi kama ulivyoshauriwa hapo juu.
 
mshkaji mtoto huyo anahitaji kwenda hospitali achunguzwe extent ya damage kwenye jicho lake hilo na apewe matibabu husika..huyo si wa kumuulizia atumie dawa gani kwenye mitandao ya kijamii! Ccbrt ni pazuri zaidi kama ulivyoshauriwa hapo juu.
nashukuru sana kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom