Doctor injects cement in woman's rear.....

Vivian,ugonjwa unaanzia kwenye kuwaza kuongeza makalio,whether naturally ama artificially! What is wrong with hayo uliyonayo, hayatoshei kukaa? Manake kazi ya makalio ni kukalia tu! Wote wehu, mwingine analipia gym laki kwa mwezi ayapunguze ya kwake, mwingine anaenda kutafuta nyongeza! Kha!
hivi hakuna vitu natural m2 anaweza fanya akaongeza ukubwa wa makalio?
 
Dah!!! Mambo mengine sio ya kucheka ila imenibidi kucheka...hivi kwanini watu hawaridhiki na maumbo waliyonayo
 
Hivi kati ya anae-demand mwenza wake abadilishe body parts, na anaekubali kujibadili kwa ajili ya mwenza, who is sick?
Kuna uzi ulikuwepo hapa kitambo kidogo wa mtu anatafuta boob job specialist in tz, na akashadidiwa na wengi tu! Hata humu wagonjwa wapo tu
Wote wagonjwa, mmoja yupo ICU na mwingine yupo wodi za kawaida, anayekubali ndie yupo ICU...lol.
 
Dah!!! Mambo mengine sio ya kucheka ila imenibidi kucheka...hivi kwanini watu hawaridhiki na maumbo waliyonayo
Hawajiamini asee...nna hakika mtu akijiamini ataridhika na kila alichonacho...

Afu na nyie wanaume mnachangia kwa asilimia nyingi manake mkiona wenye makalio mimacho mwaikodoa kodo, sasa wenzi wenu wafanyeje jamani, zaidi ya kwenda kujipeleka wakajaziwe cement mwilini?
 
Jamani kwanini mtu hauridhiki na ulichopewa?mimi na pasi yangu kaali na najipenda haifai
 
Dah!!! Mambo mengine sio ya kucheka ila imenibidi kucheka...hivi kwanini watu hawaridhiki na maumbo waliyonayo
Wengi huwa wanatusingizia wanaume kuwa eti ndo tunavyotaka! Kwani wasingekuwepo wa hivyo wanaume wangetaka nini?
 
Kuna wanaume na akili zao wanawapa wake/ wapenzi wao pesa kwaajili ya kununua hayo makitu. Hamsingiziwi, kama wewe hujafika huko mshukuru mungu wako...
 
Hawajiamini asee...nna hakika mtu akijiamini ataridhika na kila alichonacho...

Afu na nyie wanaume mnachangia kwa asilimia nyingi manake mkiona wenye makalio mimacho mwaikodoa kodo, sasa wenzi wenu wafanyeje jamani, zaidi ya kwenda kujipeleka wakajaziwe cement mwilini?

Acheni kusingizia wanaume. Wajibikeni!
 
sasa hii sijui tuite plasta ama chuping? hehehe! hivi cement inafaa kwa manyonyo pia,nataka nikaongezee

Hahaha! Mke mwenza ujue mie bado nakupenda sana, kweli sitaki kukupoteza bana, sikushauri unywe cement lol. Hivi una habari kuna siku baadhi ya watu watageuka matofali ya kujengea nyumba?
 
Acheni kusingizia wanaume. Wajibikeni!
Hilo fumbo sasa ndugu yangu, hebu nifafanulie japo kidogo, tuwajibike idara ipi? Tukiwajibika hayo mahips na makalio yatajitengeneza bila kuwekewa zege?
 
Back
Top Bottom