Do you think all NBA teams should retire #23 in honor of Michael Jordan?

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
836
I think they should. The MLB did it with Jackie Robinson (#42) and the NHL did it with Wayne Gretzky (#99). Players who have the number currently (LeBron) should wear it though, but I think nobody in the future should wear #23.
The Miami Heat retired #23 even though Jordan had nothing to do with them.

I got the above piece from yahoo sports. So, do you think the NBA should retire number 23 in honor of Jordan? From the above writing you can see that other sports have done it & Miami Heat have already done it.
 
Nafikiri walitakiwa wa-retire wakati jamaa anastaafu lakini sasa miaka mingi imeshapita
 
Huwa mara nyingi wana retire jerseys muda baada ya mtu kuretire. Hakuna ambae jersey yake imekua retired soon after kustaafu.
 
Contribution ya Jordan to the game, inaweza kuwekwa katika level moja n Jackie Robinson? Huyu wa ice hockey simjui mimi....
 
Contribution ya Jordan to the game, inaweza kuwekwa katika level moja n Jackie Robinson? Huyu wa ice hockey simjui mimi....

He did elevate the sport towards becoming a more global sport. Its a fact kwamba during Jordan ndiyo watu wa nchi zingine wakaanza kuwa interested na NBA na basketball kiujumla. Pia tokea aondoke Jordan the interest to the sport & the ratings are lower. He was also a very marketable player outside the U.S. in a level no other NBA player before him had achieved.
 
Basi na 10 ya pele waistaafishe...

Mkuu utamaduni wa kustaafisha jezi za wachezaji mashuhuru ni kwa michezo ya Kimarekani kwa ligi za kwao. Kwenye football(soccer) hakuna utamaduni au utaratibu huo ila unge kuwepo naamini kabisa wange fanya hivyo.
 
Your team is the one to retire the number not the NBA.
What about those players who wore 23 post and past MJ? Don't you think they deserve their share for # 23 rights?
 
Your team is the one to retire the number not the NBA.
What about those players who wore 23 post and past MJ? Don't you think they deserve their share for # 23 rights?

Hata individual teams zina weza zikawa na watu walio vaa namba fulani kabla. Kwa jinsi unavyo sema wewe basi hata team haitakiwi kustaafisha namba yake because yawezekana kuna wengine nyuma waliivaa namba hiyo. Na kama umesoma Miami Heat(which Jordan never had anything to do with) wameistaafisha #23 in his honor.
 
Hata kwenye klabu za soka wanafanya hivyo juzi Paolo Maldini amestaafu AC MILAN wamepumzisha jezi yake namba 3 kwa kumuenzi kwa mchango alioutoa
 
Maybe. Michael Jordan kwenye basketball ni kama Pele kwenye soccer or Muhammad Ali kwenye boxing. They took their games to new heights, and in case of MJ, he made basketball a global sport. Pity he semi-retired for two seasons (1993-4 and 1994-5) which enabled Hakeem to get 2 rings, otherwise MJ would have 8 of them. Anyway kudos to Hakeem as he took full advantage.

Note: LeBron chose no. 23 in his desire to be like Mike.
 
Back
Top Bottom