KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Natumaini atakuwa na ujasiri wa kuyasoma haya na kukupa jibu.Pia atuambie tangu amekuwa huko ni mambo gani amefanya mpaka sasa katika hayo anayosema waliambiwa wakafanye?
Natumaini atakuwa na ujasiri wa kuyasoma haya na kukupa jibu.Pia atuambie tangu amekuwa huko ni mambo gani amefanya mpaka sasa katika hayo anayosema waliambiwa wakafanye?
Hata wanaomchukia mioyoni mwao wanalijua hiliMagufuli ni Rais wa kihistoria.
Mbona sisi Hatujafilisiwa? Utafilisiwatu ikiwa Pesa ulizonazo Hazina Maelezo ya kutosha vyazo vyake vinalingana na Thamani ya Pesa ulizonazo?Watanzania walifilisiwa pesa zao kwenye ma benki wana jambo lao.
Kwani aliikuta ikiwa ngapi..Baada ya kuwapa kibano mpaka JPM anatutoka dollar ilikuwa ni 2339. Sasa tuone baada ya ufisadi wa akina Lema kama haitapanda
kama kitu hujui kaa kimyaKwani aliikuta ikiwa ngapi..
Mwenzetu umepitwa kabisa..hizi nyaya zinazopitishwa na substations zinazojengwa pembeni ya reli ni za kupitisha maziwa?Huu uongo mnautoa wapi? Uliambiwa wapi treni ya umeme? Au mkisikia Standard Gauge mnajua umeme?
Kama lako linavyotema unafikiri kila mmoja Yuko hivyo?Limdomo lako lisafishe
Ilitumika, kwahiyo!Sasa mbona haijulikani 1.5 t ilienda wapi
Balozi wa Tanzania Nchini Sweden, Dkt. Wilbroad Slaa amesema kipaumbele cha Hayati Rais John Magufuli kilikuwa kuwainua Watanzania, na njia alizoweka hadharani kutimiza hilo ni kuwekeza kwenye Viwanda pamoja na Uwekezaji.
Ameeleza, "Wakati naapishwa kauli yake ilikuwa nendeni mkafanye diplomasia ya Uchumi. Maana yake ni kutafuta wawekezaji, watu wenye viwanda vikubwa na watakaoingia kwenye ushirikiano na Watanzania katika kuuziana bidhaa mbalimbali"
Aidha, Dkt. Slaa amesema kuleta wawekezaji pekee haitoshi kama hakuna watu wa upande wa Tanzania kushirikiana akiongeza Biashara lazima iwe pande mbili.
Amesema hayo CCM Kirumba Mwanza akihudhuria shughuli ya kuagwa kwa Dkt. Magufuli.
Ili vita dhidi ya ufisadi iendelee rais Samia Suluhu Hassan amteu Dr Slaa kuwa makamu wa rais. Hapo atamsaidia Sana na kazi yake kusimamia miradi itakuwa nyepesi.Kwenye kampeni za 2010 dr slaa alisema akifanikiwa kupewa nchi atajenga treni ya umeme toka dar mpk kigoma.
Viongozi wa ccm wote na wanachama wao wakambeza, miaka mitano mbele Magu kajenga treni ya umeme viongozi wa chadema wote na wanachama wao wanambeza na kumkashifu.
Kuna muda nashindwa kuielewa hii nchi yangu.
Kwenye kampeni za 2010 dr slaa alisema akifanikiwa kupewa nchi atajenga treni ya umeme toka dar mpk kigoma.
Viongozi wa ccm wote na wanachama wao wakambeza, miaka mitano mbele Magu kajenga treni ya umeme viongozi wa chadema wote na wanachama wao wanambeza na kumkashifu.
Kuna muda nashindwa kuielewa hii nchi yangu.
Ajiamdae kurudi, ndivyo zilivyo hizi nafasi za uteuzi kama aliyekuteua asipo exist.Go to hell Dr. Mihogo
Kuna ID'S zile zile zinazunguka kuponda tu kwenye kila thd anayosifiwa the late JPM,tena zinakua za kwanza ku comment!
Poleni sana kwa mateso mnayo yapitia muda huu nyie mnao ponda na kupinga kila kitu,
Na ndiyo sababu Watanzania wanaendelea kuonesha upendo na imani waliyokiwanayo kwa JPMBalozi wa Tanzania Nchini Sweden, Dkt. Wilbroad Slaa amesema kipaumbele cha Hayati Rais John Magufuli kilikuwa kuwainua Watanzania, na njia alizoweka hadharani kutimiza hilo ni kuwekeza kwenye Viwanda pamoja na Uwekezaji.
Ameeleza, "Wakati naapishwa kauli yake ilikuwa nendeni mkafanye diplomasia ya Uchumi. Maana yake ni kutafuta wawekezaji, watu wenye viwanda vikubwa na watakaoingia kwenye ushirikiano na Watanzania katika kuuziana bidhaa mbalimbali"
Aidha, Dkt. Slaa amesema kuleta wawekezaji pekee haitoshi kama hakuna watu wa upande wa Tanzania kushirikiana akiongeza Biashara lazima iwe pande mbili.
Amesema hayo CCM Kirumba Mwanza akihudhuria shughuli ya kuagwa kwa Dkt. Magufuli.
View attachment 1733385
Wewe jamaa huwa pumbavu ambalo hauna akili. Kununua ndege cash na kukopa kipi bora? We ungesema labda kununua ndege haikuwa kipaumbele muhimu kwa sasa.Ukijikita kwenye propaganda wakati mwingine unageuka unakuwa mjinga. Mtaje kiongozi yoyote wa cdm kwa jina anayepinga ujenzi wa reli. Watu wanapinga ununuzi wa ndege tena kwa mtindo wa cash, na sio treni. Mnachomekea miradi ambayo cdm hawapingi ili kufunika miradi ya kihuni ili ione watu wanapinga kila kitu. Ni hivi, ununuzi wa ndege na uwanja wa ndege aa Chato, ni uhuni kama uhuni mwingine fullstop.
Hawa ndio wwnaomlilia Marehemu sababu walitolewa upinzani wakaja kupewa vyeo wenye chama wakaachwa. It's very bad, hawa sasa watajua nini maana ya uzalendo. Huwezi kutolewa huko ulikokuwa unapinga kila kitu halafu unaambiwa kesho amekuwa balozi na wapo waliopigana usiku na mchana kwa ajili ya chama wakaachwa tu. Asubiri sindano inakuja wakae mkaoBalozi wa Tanzania Nchini Sweden, Dkt. Wilbroad Slaa amesema kipaumbele cha Hayati Rais John Magufuli kilikuwa kuwainua Watanzania, na njia alizoweka hadharani kutimiza hilo ni kuwekeza kwenye Viwanda pamoja na Uwekezaji.
Ameeleza, "Wakati naapishwa kauli yake ilikuwa nendeni mkafanye diplomasia ya Uchumi. Maana yake ni kutafuta wawekezaji, watu wenye viwanda vikubwa na watakaoingia kwenye ushirikiano na Watanzania katika kuuziana bidhaa mbalimbali"
Aidha, Dkt. Slaa amesema kuleta wawekezaji pekee haitoshi kama hakuna watu wa upande wa Tanzania kushirikiana akiongeza Biashara lazima iwe pande mbili.
Amesema hayo CCM Kirumba Mwanza akihudhuria shughuli ya kuagwa kwa Dkt. Magufuli.
View attachment 1733385
Wewe jamaa huwa pumbavu ambalo hauna akili. Kununua ndege cash na kukopa kipi bora? We ungesema labda kununua ndege haikuwa kipaumbele muhimu kwa sasa.