Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

Jiwe walilokataa waashi
Tena mlango uliofunguka ni mkubwa zaidi
HONGERA DK. MWELE
ndo maana kila ninapopitia wakati mgumu au kupata majanga naikimbilia madhabahu kuungama maana najua ni malipo ya maovu yangu nilotendaaa...espirato santus
Ukifungwa mlango JPM unafunguka mlango UN
Yote Maisha
Wakati mwingine matatizo yanapotupata ni ishara kwamba kuna sehemu nzuri zaidi ya hapo ulipokuwa inakuja kikubwa ni kutulia na kuangalia way forward
 
Tujiulize kazi hiyo unaomba moja moja binafsi au ni zile unahitaji chapuo la nchi yako. Kwa sisi ambao hatufahamu tubakize maneno. Mwenye kujua atufahamishe.
Maana raia namba moja anaweza akafanya teuzi ili apate forum ya kuzungumza kwa kusema "tumempigia chapuo nashangaa mitandao inaandika tofauti"
 
Yalumbwe muwaha hono chiti chahanza kulibehi kwela.

Praise the Lord. When darkness prevails the slightest light can reveal the path.

Bwana apewe sifa. Giza la usiku linapotanda jogoo huwika kumekucha.
 
Kuna somo la kujifunza hapa kutokana na huyu mama. Kila jaribu unalopitia katika maisha , usilalamike sana na kukata tamaa, Mungu hajakuacha ila anaandaa njia nzuri ya kukuinua kwenye level za juu zaidi. Mshukuru Mungu kwa kila jambo.
 
Hilo kundi la kwanza serikali haitoi go ahead, ni serikali yenyewe inayoteua. Kuna kazi za kimataifa ikifikia level fulani nchi ina mpa support raia wake na ina lobby kwa nchi nyingine ili aweze kuipata. Hivyo anapo omba anakuwa na support ya serikali yake. Kundi la mwisho anaetaka kazi anaomba na akionekana anafaa anachaguliwa bila kuhitaji support ya serikali yake.

..nafasi ya DG wa WHO, UNDP, na mashirika mengine ya UN, muombaji hupewa support na nchi yake.

..nafasi za chini ya hapo, na kama hiyo inayoonekana Dr.Mwele amepata, kwa uelewa wangu hazihitaji chochote toka serikalini.
 
Hivi mnaamini kuwa mtu anaweza kupewa majukumu km hayo bila kuhusisha serikali yake?

Bavicha wengi wanaonekana kuwa watu wenye uelewa mdogo na exposure ndogo sana kuhusu namna mambo mengi yanavyoendeshwa nchini na duniani.
Kwani alikuwa mtumishi wa serikali ya mabashite?
 
Habari waungwana,

Dkt. Mwele Malecela aliyekuwa Mwanamke wa kwanza kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NIMR na kisha 'kutumbuliwa' baada ya kutangaza uwepo wa homa ya Zika nchini, sasa anakuwa Mkurugenzi wa Vituo vya kuzuia na kudhibiti magonjwa Afrika wa Umoja wa Mataifa (WHO-AfRO)

View attachment 490245

Ameondoka jana na kituo chake cha kazi kitakuwa Brazaville nchini Congo.
Sijui bwana yule atajisikiaje
 
Na kulikua hakuna kweli,,tuweke hoja kamili kweli huo ugonjwa upo au haupo?na kama haupo je kulikua na nn mpk akatangaza?? Kuna vtu ambavyo kiukwel watu wa huku nje hatujui kinachoendelea kule ndani
We we na mm tuna vifaa vya kutambua huo ugonjwa?
 
Na kulikua hakuna kweli,,tuweke hoja kamili kweli huo ugonjwa upo au haupo?na kama haupo je kulikua na nn mpk akatangaza?? Kuna vtu ambavyo kiukwel watu wa huku nje hatujui kinachoendelea kule ndani
Hata tukiwa navyo bado anaetakiwa kuthibitisha ni serikali
 
Back
Top Bottom