Dkt. Mwakyembe aandika waraka wa siri!

Nimesikia hili suala kwenye summary za magazeti!
Kama utapatikana waraka huu mapema itakuwa ni njema sana!
 
Aanze kumalizia ile ripoti ya richmond kwanza aliyoficha baadhi ya mambo, ndo alete huo waraka .
 
Hapana ndugu mhariri, huo ni uharo na uongo mkubwa!

Umeshasema kwamba ndugu wa Mwakyembe wenyewe wamekwambia kwamba nia ya kuandikwa waraka huo ni kuliambia taifa kilichojiri, huwezi tena ukageuka ukasema habari haitakiwi kuwekwa wazi eti kwa sababu ya uchunguzi, wewe mhariri na waandishi wako you don't know what you are doing at your job, tena waongo wakubwa, huna hakika na unachoandika, mmeenda shule ya journalism ya chini ya miembe, vilaza wakubwa!

Umesema yeye mwenyewe Mwakyembe "amesambaza" waraka wenye majina ya watuhumiwa, itakuwaje tena wewe ndio uogope kutaja kile ambacho tayari kimeshatajwa? Tuna uhuru wa vyombo vya habari tatizo wahariri waoga, uozo! Halafu hakuna competition, ingekuwa Tanzania Daima wanajua kwamba wao wasipoanika huo waraka basi chombo kiingine kitaandika wangewahi kuuchapa, lakini ndio hivyo tena, hatuna waandishi wa kweli kwenye press Tanzania, nazi tupu!

Umesahau kuwa wameshambambikizia kesi ya uchochezi mahakamani unataka wampe nyingine tena? kuwa muelewa

Hapana ndugu mhariri, huo ni uharo na uongo mkubwa!

Umeshasema kwamba ndugu wa Mwakyembe wenyewe wamekwambia kwamba nia ya kuandikwa waraka huo ni kuliambia taifa kilichojiri, huwezi tena ukageuka ukasema habari haitakiwi kuwekwa wazi eti kwa sababu ya uchunguzi, wewe mhariri na waandishi wako you don't know what you are doing at your job, tena waongo wakubwa, huna hakika na unachoandika, mmeenda shule ya journalism ya chini ya miembe, vilaza wakubwa!

Umesema yeye mwenyewe Mwakyembe "amesambaza" waraka wenye majina ya watuhumiwa, itakuwaje tena wewe ndio uogope kutaja kile ambacho tayari kimeshatajwa? Tuna uhuru wa vyombo vya habari tatizo wahariri waoga, uozo! Halafu hakuna competition, ingekuwa Tanzania Daima wanajua kwamba wao wasipoanika huo waraka basi chombo kiingine kitaandika wangewahi kuuchapa, lakini ndio hivyo tena, hatuna waandishi wa kweli kwenye press Tanzania, nazi tupu!

Mkuu punguza jazba majina ya watu huwa hayatajwi hovyo. Assume unaandika kuwa amewataja fulani na fulani then kesho na keshokutwa Mwakyembe anakanusha kuwa hahusiki na waraka huo sasa haijala kwako?? Unajua pia ipo haja ya kubalance story kabla ya kuitoa kwenye public?? Tuwe na subira Kibanda na wenzake ni watu makini na wanajua wanachokifanya na leo sio mara ya kwanza kufichwa majina....rejea hata issue ya zombe tuliwajua wahusika wote baada ya kufikishwa mahakamani.
 
Nimesikia hili suala kwenye summary za magazeti!
Kama utapatikana waraka huu mapema itakuwa ni njema sana!

Ni kweli kabisa Jimmy kwani baadhi ya maneno yaliyoandikwa yapo tkt baadhi ya magazeti,nadhani kwa kuwa tayari baadhi ya watu wanao waraka huo basi sio siri tena,kwani siri huwa ni ya mtu mmoja na si ya zaidi ya mtu mmoja.

tunaomba maboss wa Jf watuwekee waraka huo,kwani ni imani yangu kuwa Uongozi mzima wa JF utakuwa nao waraka huo ikizingatiwa kuwa Dr amekuwa ni msomaji mzuri wa JF na hata JF ilisaidia Mh Sitta kupata ule uchunguzi binafsi na kuupeleka kama ushahidi polisi,kwa maana hiyo JF inawajibu wa kupata waraka huo na kuwawekea wasomaji wake ili waweze kuupitia maana sio siri tena.
 
Yeah, kweli sioni serikali ikiwa makini katika hili!!!!!!!!! Raia tumetelekezwa na serikali yetu, kila mtu anatakiwa achukue own initiatives katika kujilinda; sijui kwa siye fukara itakuwaje! Ukiwa wanaufanyia hivi mtu mbichi itakuwaje kwa mti mkavu????
 
Naamini Dr Mwakyembe ni zaidi ya hizi gossip zinazosababishwa na yeye kutokuwa muwazi na mkweli juu ya ugonjwa wake huu. Kwa kuwa hatuna la maana la kujadili kwa sasa tuendelee tu na hizi.
 
Mwakyembe itabidi apambane kivyake, kina Manumba ni wazinguaji, kuna chezo hapo halipo wazi.
 
Naungana na wewe mkuu bucho, kuna viporo viliachwa kwenye richmond na hivyo ndo vinavyomtesa!!! If he could have reported right away all important issues they left with richmond we couldnt be speaking about this issue anymore. Anyway Mungu awape ujasiri ili wajue ni nini kinawatesa hasa,
 
Salsa kama waraka upo arafu hauoneshwi manake ni naetakiwa kuuona siwezi sema upo. So Hamna waraka,FINAL ANSWER,,
 
eti siri.........? hasa we umeshaijua hiyo itakuwa siri tena.........? hebu kuwa muwazi bhana.......? halafu hata mwakyembe ni kilaza nae......? hasa ajali imetokana na uzembe wa dereva wake yeye analalamika nn.........? halafu huyu mwakyembe mbona anafanya kazi ya kuwaelekeza polisi kazi zao kama haaamini ripoti ya polisi akatafute sehemu nyingine anayoamini..........? huyu jamaa aache UJINGA amuombe mungu apone haraka na sio kushuku watu wanataka wamuue kwa lipi alilokuwa nalo au kwa lipi alilofanya...........? aache kutafuta huruma za wa Tz siku hizi hatudanganyiki hivyo............
 
Mnanikumbusha waraka wa Naamani kama ilivyo imbwa na Bahati Bukuku
Kama mtu anao wa Mwakyembe si auweke apa vinginevyo tuendelee na ule wa Naamani
 
Back
Top Bottom