Dkt. Mpango hajawahi kuwa na shida na mtu, ni mtu mstaarabu na kiongozi bora sana

Nawahsnag snaa chadema kumzushia kifo na mabaya yampate mpango

Kwanza mpango mwenyewee hajawia kuomba kuwa mwanasiasa Ni jiwe ndio alimlazimishaa kuingia kwenye siasa na Sasa bahat ikamdondokeaa kapata umakamu.

Mungu amjalie afya njema Huko aliko
Tunaompenda ndo tunataka kujua alipo. Tuambieni mmemficha wapi siyo kutafuta excuse ya CHADEMA.
 
Nyie mlimjua vizuri Mrundi huyo? Waulize sie aliowavictimize kutokana na cheo chake. Roho mbaya hakuna Mfano. Muulize Balozi Mulamula etc.
Roho mbaya tu inakutesa wewe ni muhuni tu kama wenzio kina kipara!!
 
Nilimuona wa ovyo alipokuwa anawasilisha bajeti ya serikali bungeni katika ya speech anapiga yowe "ccm oyee"
Nilimuona hana maana
 
Ni ukweli ulio wazi kwamba Dkt. Mpango hana makuu na wala hana matatizo na mtu. Ni miongoni mwa viongozi wachache sana ktk nchi hii ambao hawana 'makandokando' ya kutisha.
Tatizo ninaloliona Mimi ni kwamba Serikali yenyewe ndio ambayo imesababisha uvumi huu mbaya wa kumchuria mtu huyu kwa kufanya Usiri wa kipuuzi usiokuwa na ulazima. Pale ambapo habari za ukweli zinafichwa basi habari za uongo na uzushi hupata nguvu zaidi na kuaminika na watu.
Kwa kuwa ccm tu tayari ana matatizo
 
Dr Mpango hajawahi kuwa na shida na mtu, ni mtu mstaarabu na kiongozi bora sana.

Ukimya wa Dr mpango unazua taharuki sana, lakini tunasahau huyu kiongozi ni miongoni mwa watu wastaarabu, wapole, wanyenyekevu sana nchi hii.

Personally kuna majukumu au mambo ambayo yamewahi kunikuta nikajikuta nipo karibu na maisha ya huyu Kiongozi kipindi hicho akiwa ni waziri, aiseee ni mtu mmoja mstaarab, mpole, asiye na makuu,mchamungu na asiye na majivuno,huyu kiongozi ni mtu anayeishi maisha ya kipekee sana na ya kawaida sana, hajikwezi na huwezi kumuona akijitapa kama mtu mwenye pesa.

Maombi yangu ni huko alipo kama anaumwa apone haraka sana, nilichogundua Tanzania kuna "wahuni" ambao wanakaa na kuombea watu vifo, imagine kuna watu wanamuombea mabaya Dr Mpango.Kuna watu kabisa wanaomba mabaya kwake kwa kuchunguza wengi wao ni wahuni fulani ndani ya mfumo na chama ambao washazoea kulihujumu taifa wanajua fika kuwa mpango ni kikwazo cha kufikia malengo yao maovu dhidi ya taifa hili

Taifa linahitaji kina mpango wengi zaidi, taifa linahitaji viongozi wazalendo wenye hofu ya Mungu, wacha Mungu na wanyenyekevu kama Dr Mpango

Laiti Viongozi wote wangekua na hekima,moyo,utu na kuuchukia ufisadi na ubinafsi kama ambavyo Dr Mpango alivyo na moyo na spirit ya uzalendo basi kama taifa tungekua mbali sana.

Maswali ni mengi sana nawauliza hao watu?

Dr mpango kawafanyia nini?Mbona hanaga ubaya na mtu?

Dr mpango kosa lake ninini au ni kwasababu hana makandokando au hapendi hulka za wahuni za ufisadi?

Dr Mpango ni mzalendo haswa, wala uzalendo wake hauna shaka yoyote kwanini mumpige vita?

Au ni kwasababu Dr mpango ana misimamo ya kizalendo ndo maana genge la walafi wanamchukia?

Kwanini kila mtu mwenye maono ya mawazo ya kuyagusa maisha ya wananchi wa chini kwanini anapigwa vita?

Hakuna vita ngumu kama vita ya kiuchumi, sasahivi ndo naelewa kuwa wahuni sio watu wazuri, matatizo yote taifa linalopitia now yamesababishwa na wahuni wachache ambao mkakati wao ni kuhakikisha wazalendo wote na wanaochukia ufisadi wanatolewa nje ya System ili waweze kufikia malengo yao!!

Maombi yangu yote yaende kwa Dr Mpango, Mungu akulinde popote ulipo, hainihitaji kuwa na chama kuomba kwa ajili ya hili,laiti mngeujuwa roho ya kweli ya uzalendo na uchungu wa nchi inavyolia katika maono ya ulimwengu wa roho basi tuungane kumuombea Dr Mpango!! Kuna mambo hata hapa siyawezi kuandika its so sad.
Hakuna kiongozi mzalendo asiyeongea kuhusu katiba mpya. Ukiona kiongozi anajifanya mzalendo lakini hataki katiba mpya, ujue huyo ni muhuni anayetafuta huruma kwa watu wasiojua lolote. Ww sema na yeye ni muhuni, lakini anazidiwa na wahuni wengine. Kiongozi wa kweli atahakikisha inapatikana katiba mpya, jambo ambalo Mpango hajawahi kuthubutu kulitamka. Acha afanyiziwe na wahuni wengine Hadi ajue umuhimu wa katiba mpya ya wananchi.
 
Nawahsnag snaa chadema kumzushia kifo na mabaya yampate mpango

Kwanza mpango mwenyewee hajawia kuomba kuwa mwanasiasa Ni jiwe ndio alimlazimishaa kuingia kwenye siasa na Sasa bahat ikamdondokeaa kapata umakamu.

Mungu amjalie afya njema Huko aliko
Anaburuzwa kwenye jambo asilotaka kama boya, acha afanyiziwe na wahuni anaoona sifa kuwa nao kwenye chama kimoja Cha dhuluma.
 
Hakuna kiongozi mzalendo asiyeongea kuhusu katiba mpya. Ukiona kiongozi anajifanya mzalendo lakini hataki katiba mpya, ujue huyo ni muhuni anayetafuta huruma kwa watu wasiojua lolote. Ww sema na yeye ni muhuni, lakini anazidiwa na wahuni wengine. Kiongozi wa kweli atahakikisha inapatikana katiba mpya, jambo ambalo Mpango hajawahi kuthubutu kulitamka. Acha afanyiziwe na wahuni wengine Hadi ajue umuhimu wa katiba mpya ya wananchi.
mhhh sidhani....
 
Jamaa ni president material!

Sema wawangaji walikuja na kale ka Uzi kale eti"Nimeambiwa Mpango ndio Mpango mzima"!

Sasa hatujui kwamba he huko alipo ndio anafundwa Ili aje awe Mpango mzima au ndio hayo ya tetesi wanazoandika kama zinavovuma!!
Nimeukumbuka ule uzi wa Kaka Mayala Paschal
Binadamu huona mbali sana. Unadhani unasifiwa kumbe unasomwa namna unavyotazamwa na umma. Ole wako uwe threat au competitor. So sad.
 
Dr Mpango hajawahi kuwa na shida na mtu, ni mtu mstaarabu na kiongozi bora sana.

Ukimya wa Dr mpango unazua taharuki sana, lakini tunasahau huyu kiongozi ni miongoni mwa watu wastaarabu, wapole, wanyenyekevu sana nchi hii.

Personally kuna majukumu au mambo ambayo yamewahi kunikuta nikajikuta nipo karibu na maisha ya huyu Kiongozi kipindi hicho akiwa ni waziri, aiseee ni mtu mmoja mstaarab, mpole, asiye na makuu,mchamungu na asiye na majivuno,huyu kiongozi ni mtu anayeishi maisha ya kipekee sana na ya kawaida sana, hajikwezi na huwezi kumuona akijitapa kama mtu mwenye pesa.

Maombi yangu ni huko alipo kama anaumwa apone haraka sana, nilichogundua Tanzania kuna "wahuni" ambao wanakaa na kuombea watu vifo, imagine kuna watu wanamuombea mabaya Dr Mpango.Kuna watu kabisa wanaomba mabaya kwake kwa kuchunguza wengi wao ni wahuni fulani ndani ya mfumo na chama ambao washazoea kulihujumu taifa wanajua fika kuwa mpango ni kikwazo cha kufikia malengo yao maovu dhidi ya taifa hili

Taifa linahitaji kina mpango wengi zaidi, taifa linahitaji viongozi wazalendo wenye hofu ya Mungu, wacha Mungu na wanyenyekevu kama Dr Mpango

Laiti Viongozi wote wangekua na hekima,moyo,utu na kuuchukia ufisadi na ubinafsi kama ambavyo Dr Mpango alivyo na moyo na spirit ya uzalendo basi kama taifa tungekua mbali sana.

Maswali ni mengi sana nawauliza hao watu?

Dr mpango kawafanyia nini?Mbona hanaga ubaya na mtu?

Dr mpango kosa lake ninini au ni kwasababu hana makandokando au hapendi hulka za wahuni za ufisadi?

Dr Mpango ni mzalendo haswa, wala uzalendo wake hauna shaka yoyote kwanini mumpige vita?

Au ni kwasababu Dr mpango ana misimamo ya kizalendo ndo maana genge la walafi wanamchukia?

Kwanini kila mtu mwenye maono ya mawazo ya kuyagusa maisha ya wananchi wa chini kwanini anapigwa vita?

Hakuna vita ngumu kama vita ya kiuchumi, sasahivi ndo naelewa kuwa wahuni sio watu wazuri, matatizo yote taifa linalopitia now yamesababishwa na wahuni wachache ambao mkakati wao ni kuhakikisha wazalendo wote na wanaochukia ufisadi wanatolewa nje ya System ili waweze kufikia malengo yao!!

Maombi yangu yote yaende kwa Dr Mpango, Mungu akulinde popote ulipo, hainihitaji kuwa na chama kuomba kwa ajili ya hili,laiti mngeujuwa roho ya kweli ya uzalendo na uchungu wa nchi inavyolia katika maono ya ulimwengu wa roho basi tuungane kumuombea Dr Mpango!! Kuna mambo hata hapa siyawezi kuandika its so sad.
Hoja kubwa nikujua wapi alipo ,sifa zingine mtampa tukishajua yuko wapi
 
Alike geuka yeye na jiwe akamtuma sabaya kufanya uhalifu
 
Back
Top Bottom