kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,681
- 19,799
Dr Mpango hajawahi kuwa na shida na mtu, ni mtu mstaarabu na kiongozi bora sana.
Ukimya wa Dr mpango unazua taharuki sana, lakini tunasahau huyu kiongozi ni miongoni mwa watu wastaarabu, wapole, wanyenyekevu sana nchi hii.
Personally kuna majukumu au mambo ambayo yamewahi kunikuta nikajikuta nipo karibu na maisha ya huyu Kiongozi kipindi hicho akiwa ni waziri, aiseee ni mtu mmoja mstaarab, mpole, asiye na makuu,mchamungu na asiye na majivuno,huyu kiongozi ni mtu anayeishi maisha ya kipekee sana na ya kawaida sana, hajikwezi na huwezi kumuona akijitapa kama mtu mwenye pesa.
Maombi yangu ni huko alipo kama anaumwa apone haraka sana, nilichogundua Tanzania kuna "wahuni" ambao wanakaa na kuombea watu vifo, imagine kuna watu wanamuombea mabaya Dr Mpango.Kuna watu kabisa wanaomba mabaya kwake kwa kuchunguza wengi wao ni wahuni fulani ndani ya mfumo na chama ambao washazoea kulihujumu taifa wanajua fika kuwa mpango ni kikwazo cha kufikia malengo yao maovu dhidi ya taifa hili
Taifa linahitaji kina mpango wengi zaidi, taifa linahitaji viongozi wazalendo wenye hofu ya Mungu, wacha Mungu na wanyenyekevu kama Dr Mpango
Laiti Viongozi wote wangekua na hekima,moyo,utu na kuuchukia ufisadi na ubinafsi kama ambavyo Dr Mpango alivyo na moyo na spirit ya uzalendo basi kama taifa tungekua mbali sana.
Maswali ni mengi sana nawauliza hao watu?
Dr mpango kawafanyia nini?Mbona hanaga ubaya na mtu?
Dr mpango kosa lake ninini au ni kwasababu hana makandokando au hapendi hulka za wahuni za ufisadi?
Dr Mpango ni mzalendo haswa, wala uzalendo wake hauna shaka yoyote kwanini mumpige vita?
Au ni kwasababu Dr mpango ana misimamo ya kizalendo ndo maana genge la walafi wanamchukia?
Kwanini kila mtu mwenye maono ya mawazo ya kuyagusa maisha ya wananchi wa chini kwanini anapigwa vita?
Hakuna vita ngumu kama vita ya kiuchumi, sasahivi ndo naelewa kuwa wahuni sio watu wazuri, matatizo yote taifa linalopitia now yamesababishwa na wahuni wachache ambao mkakati wao ni kuhakikisha wazalendo wote na wanaochukia ufisadi wanatolewa nje ya System ili waweze kufikia malengo yao!!
Maombi yangu yote yaende kwa Dr Mpango, Mungu akulinde popote ulipo, hainihitaji kuwa na chama kuomba kwa ajili ya hili,laiti mngeujuwa roho ya kweli ya uzalendo na uchungu wa nchi inavyolia katika maono ya ulimwengu wa roho basi tuungane kumuombea Dr Mpango!! Kuna mambo hata hapa siyawezi kuandika its so sad.