Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Natamani kufika kila eneo kufanya kampeni lakini siwezi

Tendwa: CCM hii inaweza kuanguka​

Sunday April 3 2016​

Tangu mwaka 1995 vyama vya upinzani vimekuwa vikisimamisha wagombea urais katika Uchaguzi Mkuu bila ya mafanikio, lakini John Tendwa anawataka wasikate tamaa kwa kuwa CCM inaweza kuanguka.

ccm..jpg
Aliyekuwa Msajili wa vyama vya siasa nchini, John Tendwa akizungumza na waandishishi wa gazeti hili, jijini, Dar es Salaam hivi karibuni. Picha na Said Khamis
BY Fidelis Butahe, Mwananchi gazeti

IN SUMMARY​

Tangu mwaka 1995 vyama vya upinzani vimekuwa vikisimamisha wagombea urais katika Uchaguzi Mkuu bila ya mafanikio, lakini John Tendwa anawataka wasikate tamaa kwa kuwa CCM inaweza kuanguka...
Wenye macho wanao na lakini vipofu hujifanya hawaoni na hujitia kiwi ya macho hata kudai upinzani utakufa
 
Akihutubia jimbo la Kawe, Rais Magufuli amesema yeye ni Binadamu hataweza kwenda lindi na Mtwara hivyo atamtuma Kassim Majaliwa Kassim

Mimi kama mwana CCM naunga mkono kumtumia Mama Salma Kikwete na Jakaya Kikwete mikoa ya lindi na Mtwara na tayari hilo limefanyika...
Kusini wanamsubiri kwa hamu sana aende akawasalimie tu na kuwapa matumaini ya malipo ya korosho zao
 
Akihutubia jimbo la Kawe, Rais Magufuli amesema yeye ni Binadamu hataweza kwenda lindi na Mtwara hivyo atamtuma Kassim Majaliwa Kassim

Mimi kama mwana CCM naunga mkono kumtumia Mama Salma Kikwete na Jakaya Kikwete mikoa ya lindi na Mtwara na tayari hilo limefanyika...
Gari la mkaa. Trip moja porini, trip nyingine garage.
 
Akihutubia jimbo la Kawe, Rais Magufuli amesema yeye ni Binadamu hataweza kwenda lindi na Mtwara hivyo atamtuma Kassim Majaliwa Kassim

Mimi kama mwana CCM naunga mkono kumtumia Mama Salma Kikwete na Jakaya Kikwete mikoa ya lindi na Mtwara na tayari hilo limefanyika.

Kwa uamuzi huu Rais ameona mbali sana na hongera kwake sana sana,

Wale wa maeneo ya Ngende, Nanjilinji na Nkanared na wale wanaotamka mwana Nke badala ya Mwanamke na mnaotamka Ntoto badala ya mtoto wa mikoa ya Lindi na Mtwara tunawategemea sana kupiga kura ya ndio kwa JPM.

Kazi za serikali ni nyingi zinahitaji muda pia.
----
Nilipenda sana kupita maeneo mbalimbali. Nilipenda nifike Mbagala; nitamtuma Mheshimiwa Jakaya Kikwete. Nilipanga niende mpaka Ukonga mwisho, napo nitamtuma Mh. Jakaya Kikwete na viongozi wengine.

Nilipanga kupita kila eneo, lakini mimi ni binadamu. Ningependa hata nifike Katavi na Rukwa lakini ilibidi nimtume Makamu wangu wa Rais, Mama Samia.

Ningependa nifike Mtwara na Lindi lakini nitamtuma kule Waziri Mkuu wangu, Ndugu Kassim Majaliwa.

Ningependa nifike Morogoro; ningependa nifike Pwani; ningependa nifike Pemba na maeneo mengine. Mimi ni binadamu, siwezi kuwa kila mahali na wakati huohuo nifanye kazi za serikali.

Kwa sababu serikali lazima iendelee kwenda, wafanyakazi wapate mishahara yao. Madawa lazima yapatikane hospitali. Na mengine mengi. Wakulima lazima wapate pembejeo. Haya yote unayasimamia wakati ukifanya kampeni.
Korosho zao atawambia nini?
 
Pancha nini?
 
Akihutubia jimbo la Kawe, Rais Magufuli amesema yeye ni Binadamu hataweza kwenda lindi na Mtwara hivyo atamtuma Kassim Majaliwa Kassim

Mimi kama mwana CCM naunga mkono kumtumia Mama Salma Kikwete na Jakaya Kikwete mikoa ya lindi na Mtwara na tayari hilo limefanyika...
Tuna katiba mbovu sn
 
Si akae sasa? analialia nini sasa...gari ya mkaa, Trip shamba trip gereji
Subiri tarehe 28 kamanda utaelewa gari ya gereji ni ipi?

Lisu wako hafikishi hata asilimia 20. Najua utabisha kwakuwa umepumbazwa na ile mikwara yake na mafuriko ambayo hayaingii hata mara tano kwa mafuriko ya slaa achilia mbali haya ya juzi ya Lowasa.
 
Eti kasema hataenda kwa sababu yeye ni binadamu; yawezekana Mh. Tundu Antiphas Lissu kamvua umalaika na kubakia na ubinadamu kama binadamu wengine.
Matamanio ya kuwa kiongozi wa Malaika yameyeyuka,hivi kwa akili ya kawaida Binadamu anawezaje kufikiria kuwa kiongozi wa Malaika?Watu wamepagawa hadi kutamka "Mungu Hoyeeee",ni kawaida?
 
Dictator is afraid of losing power to Lissu and he isn’t qualified to be president with no academic qualifications and is not a Tanzanian by birth. Dictator is Burundi origin
 
Back
Top Bottom