johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Mbunge wa Nzega Dr Kigwangala ameishauri Serikali ianzishe Mfuko wa kudhibiti Bei za Mazao ya Chakula yaani Price Stabilization Fund
Dr Kigwangala amesema dunia inaelekea kwenye njaa na Watanzania wengi hawana Tsh 5200 ambacho ni Kiwango cha kimataifa cha binadamu kutumia kwa Siku, Mfuko huo utasaidia wananchi kumudu Bei ya Vyakula
"Wananchi wetu wanachohitaji ni Chakula na mahitaji muhimu basi, hawana mambo mengi" amemalizia Dr Kigwangala Bungeni Leo
Chanzo: TBC