Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 741
- 479
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar aliowateua hivi karibuni.
Majaji hao ni Khadija Shamte Mzee, Salum Hassan Bakari, Haji Suleiman Khamis.
Hafla hiyo ilifanyika Ikulu Zanzibar tarehe 16 Novemba 2023.
Viongozi mbalimbali wa Serikali, Dini na Vyombo vya ulinzi na usalama walihudhuria hafla hiyo.