Dkt Asha Roze Migiro na utani wa kibongo!

Baba Dorcas

Member
Jan 15, 2012
83
5
Naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa dkt Rose Migiro! Nini tafsiri ya kusema kuwa ni utani ya msemo wa "Mchimba shimo huingia mwenyewe"? Hvo unavyosema ndivyo viongoz wetu wanasema, tena wao utani wao ni wa kuua. Je hata wewe umeiga viongozi ulowaacha bongo! Ushaur wangu naomba uache kufanya utani kwenye sera katika nchi za watu. Ni maoni yangu!
 
Dr Asha ni mtu wa utani sana,si darasani, si mkutanoni...uzuri wake ni kuwa yeye hutumia utani kuwasaidia watu kuelewa...!

Leo alisema mchimba shimo huingia mwenyewe akimaanisha kuwa Katibu mkuu wa umoja wa mataifa alianza utaratibu wa kuwa anabadilisha watendaji kila mara, na akawa amemwagiza yeye Dr Asha kusimamia hilo....wakati wake wa kustaafu umefika na yeye hana budi kuheshimu taratibu alizokuwa anazi-advocate....muda ukiisha,anarejea nyumbani Tanzania...Karibu Dr Migiro!
 
Back
Top Bottom