Dk: Slaa live tumaini tv.

Turufuu

Senior Member
Dec 27, 2013
182
54
Anahojiwa
lakin kaamua awaweke hadharan ccm kila mwenye macho awaone, anatoa siri
zote walizokubaliana na serekali, lakin serekali wameshindwa
kuzitekeleza ahadi walizokubaliana, Akina mwana diwani tenda iyo njoni mupotoshe buku7 isiwapite.
 
Dr Slaa ndiye kipenzi cha watanzania hata Samwel Sitta alikwishawahi kukiri kuwa miongoni mwa wapinzani mtu wa kuogopwa ni Dr Slaa peke yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom