Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,119
Kimada? kwani padri anaruhusiwa kubanjua amri ya 6Kwanza Yusuph makamaba hajawahi kuwa rfiki na Dr sLAA hata siku moja, mwak 2010 tar 11/9/2013 alimtukana Dr Slaa kuwa anakimada na Dr Slaa alimjibu kwa kumtaka atoe sababu za yeye kuingia katika siasa na kuacha kazi yake ya ualimu na hatimaye makamba kumwomba msamaha Dr Slaa, lakini bado Dr Slaa alikwenda mjini tanga katika majimbo yote ya uchaguzi kuomba kura akiwa mgombea wa urais. Kanye kwanza ndio uje hapa na hoja zako mana naona haja ikikubana unalopoka tuu