DK Shein ataka mafisadi watoswe uchaguzi mkuu mwakani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
pix.gif
1262414709_shein.jpg

TANGU kuanza kwa mjadala wa vita dhidi ya ufisadi, makamu wa rais, DK Ali Mohammed Shein amekuwa kimya, lakini jana aliamua kufungua mdomo na kuwataka wananchi watumie haki yao ya kupiga kura kuzuia mafisadi kushika uongozi...

http://www.globalpublisherstz.com/habari_mbalimbali/
 
Kama Dr Shein anasema maneno hayo namkubali kabisa. Inaonekana alilelewa vema mtoto wa kipemba. Mwangalie kila kona huoni alama za rushwa alizohusika nazo moja kwa moja. Ni daktari aliyemaanisha kiapo chake hata cha udaktari.


Leka
 
I too, admire this man...Ni mtu makini, na hana makuu!..Lakini wengi wa makamu wa rais hawa toka zenji huwa wana upole fulani na uadilifu.
 
i too, admire this man...ni mtu makini, na hana makuu!..lakini wengi wa makamu wa rais hawa toka zenji huwa wana upole fulani na uadilifu.


unajua kilichomkuta makamu aliepita....?? Huyu namkubali kiukweli ila ni mpole sana bana...anatakiwa kuwa mpole kiasi
 
unajua kilichomkuta makamu aliepita....?? Huyu namkubali kiukweli ila ni mpole sana bana...anatakiwa kuwa mpole kiasi


ZionTz;727287

Huna sababu ya kumsifu kwani wakati Vasco Da Gama aka Jakaya Mrisho Kikwete anapokwenda kubembea Jamaica kwa wiki mbili alimwachia akaimu nafasi ya Urais kwa muda huo angeweza kuwakamata na kuwaweka kizuizini mafisadi wote kwa kutumia sheria ya Uhujumu uchumi ambayo haijafutwa na wakati akirudi huyu Mkwere angemkamata pale Airport amwungamishe na Mafisadi wenzake. Mkataba mbovu kuliko yote hapa Duniani ule wa IPTL ambao baadae walidesa pia SONGAS is one of the Blunders za Kikwete ambazo hata baada ya kufa Kaburini zitamsuta adding mikataba ya Madini ya kwanza hapa nchini. WE are not serious like our president who is actualy our mirror image!
 
Back
Top Bottom