Tuache kukwepa majukumu na kutamfuta chawi wetu, wote tunahusika kuijenga ama kuiangusha TZ. Wote hapa ni wasomi na usomi wetu utakua na maana zaidi pale utaposaidia kujenga jamii yetu na si matumbo yetu tu. Kigezo basic cha 'usomi'ambacho ni muhimu kwetu ni kua na elimu ya kusoma na uelewa wa kukabiri mazingira yetu kwa ajili ya kujiletea maendeleo.
Na hao kina Salim and Shivji waache kujikosha kwa ubinafsi na uharamia wao. Kwani wao wako kundi gani kama si wasomi. Wamekua kwenye system toka uhuru na ndio waliojenga hii system iliyopo ama kwa kupigia kura ama kupigiwa kura na hivyo huu ubovu wangekua wao ndio wa kwanza kuupinga. Salim ndo asiseme kabisa maana yeye ni asilia. Wameshasahau kuwa vizazi vyao vitaendelea kuwepo TZ ama ni yale yale ya kujali matumbo yao tu. UBINAFSI WAO UNATISHA. In fact UBINAFSI ndio general disease ya viongozi toka CCM (tumeijua toka Uhuru) mpaka hawajui waajibu wao kwa raia.