Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,697
- 9,048
Dr. Mwigulu alikuwa waziri sahihi sana kwa wizara hii sema hujuma tu ndio zimemtoa.
Hujuma za baadhi ya watu wa karibu na mkubwa pamoja na mkubwa ndio shida kubwa hapa.
Bila shaka wewe ni shabiki kindakindaki wa Mwigulu Nchemba Dk. mbambaishaji...!!
Rejea hutuba ya Mhe. Rais siku alipokuwa akiwaapisha kina Kangi Lugola...kwamba Mchemba KASHINDWA KUSIMAMIA JESHI LA POLISI KUZUIA AU KUPUNGA AJALI BARABARANI, KASHINDWA KUSHUGHULIKIA SCANDAL YA LUGUMI, MRADI WA BVR NA SARE HEWA ZA POLISI.....Lakini pia kuna mengine JPM hakuyataja kama KUSHINDWA KUWAKAMATA WALIOMPIGA RISASI ZAIDI YA 30 TUNDU LISSU,WAHAMIAJI HARAMU WA KISOMALI NA KIHABESHI WANAOKAMATWA NCHINI KILA SIKU NA KUPOTEA KWA AZORY GWANDA na mengine mengi....!!!
Mwigulu Nchemba hakupashwa kabisa awe kwenye hiyo Wizara ambayo i nyeti sana kwa UHAI,USALAMA NA ULINZI WA WATANZANIA....Acha akae pembeni..!