Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,465
- 1,814
hapa ndipo huwa naikubali jamii forum. Kuna watu wanaunabii,wanaleta vitu vyenye tija,vitu vinavyoweza kutokea n.k
Kichwa cha habari na content tofauti kabisa
Bila shaka wewe ni mfuasi wa ile deenhapa ndipo huwa naikubali jamii forum. Kuna watu wanaunabii,wanaleta vitu vyenye tija,vitu vinavyoweza kutokea n.k
Sasa unabisha hakuwafelisha? Mbona bi ndalichako aliomba radhi kwa yaliyotokea?
hapa ndipo huwa naikubali jamii forum. Kuna watu wanaunabii,wanaleta vitu vyenye tija,vitu vinavyoweza kutokea n.k
Hafai kashindwa kuliongoza baraza la mitihani ataweza Wizara au amewatuma mmpigie debe?
Huyu dada ni mdini sana hafai wizara hiyo
Aende akaongoze vigango vya kanisa. huyu mama hafai kashafelisha watu wengi kisa dini. Kama mnampenda mpiganieni naye aitwe mwenyeheri au mtakatifu kwa kazi alizozifannyia kanisa.
Uwaziri siyo mbege kila mtu anaweza kupewa.
Kila siku huwa nasema Jf kiboko.. Humu kuna vichwa vya maana. Salute Jf.Ni kweli, naunga mkono hoja.
Sasa ni wakati wa kutaja majembe mengine popote pale yalipo ambayo yalifichwa na watawala waliopita kimizengwe na majungu. Kumbuka, unapotaja mtu, eleza na sifa zake kidogo ili mh aweze kuona kama anasoma hapa JF. Taja, Jina, Wizara aliko na nini anafanya au alifanyiwa!
Mkuu usiende huko...itakusumbua. Nafikiri yeye haangalii hiloMpaka zamu yetu ifike tutakuwa tumekoma kweli kweli...kila teuzi mkiristu kha!