ROMUARD KYARUZI
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 683
- 464
There is no impartiality
Tatizo kubwa chadema kimekuwa Chama cha kilutheri.
Km mtawala anafanya mambo ambayo ndio yalikuwa kiini cha nguvu na ushawishi wa upinzani kwa wananchi, kwanini waliokuwa wanahitaji kuona mambo hayo yakitendeka wasiondoke upinzani na kuungana na watawala ili kuongeza nguvu ktk utekelezaji na ufanikishaji kwa ufanisi wa hali ya juu?View attachment 882409
Wachambuzi wa masuala ya siasa nchini kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, pamoja na RUCU, wamevitaka Vyama vya Upinzani nchini kujifanyia tathimini kufuatia hamahama ya Makada wao wa udiwani zaidi ya 100, pamoja na wa ubunge wapatao sita.
Dk. Benson Bana (UDSM) alisema huenda kuna tatizo linaloendelea ndani ya Upinzani na linatakiwa kutafutiwa ufumbuzi haraka. "CHADEMA iache kukimbia tatizo wanapaswa kujiuliza kwa nini yanatokea wakati huu?"
Dk. Bana alieleza kuwa, "Wajifungie wafanye tathimini, kama hawawezi kujifanyia wawatafute hata watu wa nje .... binafsi nipo tayari kufanya hivyo tena bure kabisa."
Naye Dk. Richard Mbunda (UDSM) alieleza kuwa, hakuna sababu ya Wapinzani kuendelea kulalamika bila kurudisha imani yake kwa wananchi. "Kuendelea kulalamika siyo suluhu, wanatakiwa kupambana, siasa ni mapambano."
Prof. Gaudence Mpangala (RUCU), alivishauri Vyama vya Upinzani kujiunga na kupambana na hali inayoendelea. "Hata CHADEMA wakija na Sera mpya hawatafanikiwa katika mazingira haya. Lazima watatue kiini cha tatizo."
Profesa Mpangala aliongezea kuwa, "Ni lazima watambue kuwa, mkakati uliopo ni kuua Upinzani nchini, Sasa wakitambua hilo ninaamini watachukua hatua stahiki."
‘Upinzani wajitathmini hamahama ya wabunge’
Kinacho takiwa si kujitathmini bali kukubali kuanza moja kuimarisha vyama vyao hususani ktk maeneo ya vijijini,View attachment 882409
Wachambuzi wa masuala ya siasa nchini kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, pamoja na RUCU, wamevitaka Vyama vya Upinzani nchini kujifanyia tathimini kufuatia hamahama ya Makada wao wa udiwani zaidi ya 100, pamoja na wa ubunge wapatao sita.
Dk. Benson Bana (UDSM) alisema huenda kuna tatizo linaloendelea ndani ya Upinzani na linatakiwa kutafutiwa ufumbuzi haraka. "CHADEMA iache kukimbia tatizo wanapaswa kujiuliza kwa nini yanatokea wakati huu?"
Dk. Bana alieleza kuwa, "Wajifungie wafanye tathimini, kama hawawezi kujifanyia wawatafute hata watu wa nje .... binafsi nipo tayari kufanya hivyo tena bure kabisa."
Naye Dk. Richard Mbunda (UDSM) alieleza kuwa, hakuna sababu ya Wapinzani kuendelea kulalamika bila kurudisha imani yake kwa wananchi. "Kuendelea kulalamika siyo suluhu, wanatakiwa kupambana, siasa ni mapambano."
Prof. Gaudence Mpangala (RUCU), alivishauri Vyama vya Upinzani kujiunga na kupambana na hali inayoendelea. "Hata CHADEMA wakija na Sera mpya hawatafanikiwa katika mazingira haya. Lazima watatue kiini cha tatizo."
Profesa Mpangala aliongezea kuwa, "Ni lazima watambue kuwa, mkakati uliopo ni kuua Upinzani nchini, Sasa wakitambua hilo ninaamini watachukua hatua stahiki."
‘Upinzani wajitathmini hamahama ya wabunge’
Mkitaka taifa lenu lisonge kamwe msiwasikilize hawa wanaojiita wasomi; mmekwisha!!Hii dunia mbona tunafanyana mazoba sana? Huwa natamani kulia machozi, yani mwana CCM kada kindakindaki bwana BENSON BANA anataka akawafanyie tathmini CDM ili kubaini tatizo la hamahama? Yaani anajidai hajui? Hivi kwa nini Afrika tunajivisha unafiki wa aibu kiasi hiki? SHITHOLE countries!
Katika Phd za kipumbavu hapa Tanzania ni pamoja na huyu Bwana Bana. Ile nyingine simunaijua?View attachment 882409
Wachambuzi wa masuala ya siasa nchini kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, pamoja na RUCU, wamevitaka Vyama vya Upinzani nchini kujifanyia tathimini kufuatia hamahama ya Makada wao wa udiwani zaidi ya 100, pamoja na wa ubunge wapatao sita.
Dk. Benson Bana (UDSM) alisema huenda kuna tatizo linaloendelea ndani ya Upinzani na linatakiwa kutafutiwa ufumbuzi haraka. "CHADEMA iache kukimbia tatizo wanapaswa kujiuliza kwa nini yanatokea wakati huu?"
Dk. Bana alieleza kuwa, "Wajifungie wafanye tathimini, kama hawawezi kujifanyia wawatafute hata watu wa nje .... binafsi nipo tayari kufanya hivyo tena bure kabisa."
Naye Dk. Richard Mbunda (UDSM) alieleza kuwa, hakuna sababu ya Wapinzani kuendelea kulalamika bila kurudisha imani yake kwa wananchi. "Kuendelea kulalamika siyo suluhu, wanatakiwa kupambana, siasa ni mapambano."
Prof. Gaudence Mpangala (RUCU), alivishauri Vyama vya Upinzani kujiunga na kupambana na hali inayoendelea. "Hata CHADEMA wakija na Sera mpya hawatafanikiwa katika mazingira haya. Lazima watatue kiini cha tatizo."
Profesa Mpangala aliongezea kuwa, "Ni lazima watambue kuwa, mkakati uliopo ni kuua Upinzani nchini, Sasa wakitambua hilo ninaamini watachukua hatua stahiki."
‘Upinzani wajitathmini hamahama ya wabunge’
Chama chetu cha Mapinduzi kimethibitisha ni cha kiislamu kwa kuwa na Katibu na mrithi wake muislamu. Chunga mtazamo wako wa kidini hata kama ndiyo sera yenu.Tatizo kubwa chadema kimekuwa Chama cha kilutheri.
Prof Mpangala anaweza kutusaidia kuelewa zaidi. Huo mpango ni wa nani, kwa masilahi yapi na unaendeshwaje?View attachment 882409
Wachambuzi wa masuala ya siasa nchini kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, pamoja na RUCU, wamevitaka Vyama vya Upinzani nchini kujifanyia tathimini kufuatia hamahama ya Makada wao wa udiwani zaidi ya 100, pamoja na wa ubunge wapatao sita.
Dk. Benson Bana (UDSM) alisema huenda kuna tatizo linaloendelea ndani ya Upinzani na linatakiwa kutafutiwa ufumbuzi haraka. "CHADEMA iache kukimbia tatizo wanapaswa kujiuliza kwa nini yanatokea wakati huu?"
Dk. Bana alieleza kuwa, "Wajifungie wafanye tathimini, kama hawawezi kujifanyia wawatafute hata watu wa nje .... binafsi nipo tayari kufanya hivyo tena bure kabisa."
Naye Dk. Richard Mbunda (UDSM) alieleza kuwa, hakuna sababu ya Wapinzani kuendelea kulalamika bila kurudisha imani yake kwa wananchi. "Kuendelea kulalamika siyo suluhu, wanatakiwa kupambana, siasa ni mapambano."
Prof. Gaudence Mpangala (RUCU), alivishauri Vyama vya Upinzani kujiunga na kupambana na hali inayoendelea. "Hata CHADEMA wakija na Sera mpya hawatafanikiwa katika mazingira haya. Lazima watatue kiini cha tatizo."
Profesa Mpangala aliongezea kuwa, "Ni lazima watambue kuwa, mkakati uliopo ni kuua Upinzani nchini, Sasa wakitambua hilo ninaamini watachukua hatua stahiki."
‘Upinzani wajitathmini hamahama ya wabunge’
Jerry huko ndiko kujitathimini. Ukisema waanze kujiimarisha maeneo ya vijijini, ni kwa sababu umegundua hawako effective huko, right?Kinacho takiwa si kujitathmini bali kukubali kuanza moja kuimarisha vyama vyao hususani ktk maeneo ya vijijini,
Hawakufanya press co. bali ni juhudi za Gazeti kuwatafuta na kuwauliza. Probably aliyekuwa anamuuliza Mpangala alipaswa kumbana zaidi.Prof Mpangala anaweza kutusaidia kuelewa zaidi. Huo mpango ni wa nani, kwa masilahi yapi na unaendeshwaje?
Natamani kama wahandishi waliokuwepo wangeuliza hayo maswali na mengineyo ambayo yangelitupatia taarifa zaidi.
Toka lini alishawahi kuipenda au Kuwazia mema CHADEMA?
Huyo Professor ana Akili timamu?
Naona naye anatafuta heading ili mtukufu ampe uDC.
Mimi namshauri jambo moja tu, aende kisarawe akamuulize vizuri jokate alifanya nini akapewa udc? Na kutokea hapo naye ajipange kuutafuta huo uDC
View attachment 882409