Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Moja ya Kiongozi Mwanamke aliyeweza kufanya mabadiliko makubwa ya utoaji huduma na kupanua uwazi Kwa wateja ni Kamishna Jenerali wa UHAMIAJI. Ametumia elimu yake kufanya mabadiliko makubwa na amefanikiwa kuzifanya huduma za UHAMIAJI ziwe kwenye mtandao kama nchi za ulimwengu wa kwanza.
Kwa tunaosafiri na wenye marafiki tunaona namna wageni wanavyoappriciate reforms Ndani ya UHAMIAJI. Hongera Dr. Makakala natamani spirit Hii iungwe mkono na taasisi nyingine Tupunguze kwenda kubembelezana na maafisa wa serikali tukiomba huduma.
Dosari inayojitokeza hapa UHAMIAJI Kwa Sasa nikulazimishwa Kwa vijana wa Kitanzania wasio na tatizo la uraia wasipate Pasipoti. Lakini tatizo la ubaguzi wa huduma za Pasipoti SIYO kwa vijana wote, linawalenga vijana Watanzania waliohitimu Shule za msingi, sekondari na vyuo.
Mahitaji ya Pasipoti yameainishwa kwenye website ya UHAMIAJI na yapo kisheria ,hakuna sehemu sheria imesema kijana wa Kitanzania kwa sababu ajasoma asiruhusiwe kuwa na Pasipoti. Hakuna sehemu sheria imesema vijana ambao wana asili ya nje lakini ni Watanzania tu mfano wenye asili ya India, waarabu, wasomali na wale ambao walipata uraia Kwa kurithi Kwa wazazi wao ndio wapatiwe Pasipoti. Sheria ukiisoma Haina ubaguzi ila watoto weusi wanabaguliwa Tena kwa majibu mabovu na makali na maafisa hasa wa makao Makuu Kurasini na ofisi ya posta wanawajibu wateja SIKUPOKEI NENDA POPOTE UNAPOTAKA. Kauli Hii anaitoa afisa bila sababu yoyote ya msingi ameamua tu kwamba Pasipoti upati.
Haya malalamiko yamejaa Inbox zangu Toka nilipoandika hoja hapa yakuwaomba vijana wa Kitanzania kutoka kwenda kutembea huko Duniani wapate akili Mpya lakini pia wapunguze tatizo la ajira nchini.
Baada ya kupokea malalamiko mengi niliamua kwenda ofisi ya posta na Kurasini kuona Nini kinachoendelea. Naomba Dr. Makakala tumia Watu wako kufuatilia Siri Hii itakusaidia kuondoa ubaguzi wa huduma ya Pasipoti ofisini kwako.
1. Vipo vibanda vipo nje ya ofisi za Kurasini, kwenye ofisi hizo kuna vijana wanaletwa wamekamilisha application na Wana sifa, lakini wapo watu wanawakamata na kuwadanyanya kwamba awawezi kupata Huduma. Kisha maombi yanachukuliwa na watu hao na kuyaingiza ofisini, yakifika Ndani yule Mteja anaambiwa ingia nenda dirisha namba flani. Akifika mambo yanaenda fresh, kundi la vijana wanaorubumiwa Kwa mbinu Hii ni wengi , madhara yake ni kwamba upo uwezekano hata wasio raia kupita njia hizi chafu nakupata Pasipoti yetu.
2. Agenda ya kuwakwamisha vijana wenye rangi nyeusi wasipate Pasipoti inaonekana kama siyo agenda ya maafisa wa chini Bali ni msimamo wa maafisa wa ngazi ya juu ambapo siku Moja niliandika hapa kuhusu namna mjukuu wangu alivyokataliwa Pasipoti akihojiwa anaenda wapi, wakati anahojiwa hayo nikashuhudia mabinti na vijana wenye rangi wakipokelewa bila hata maswali ya unakwenda Kwa Nani. Ilinichukua wiki ombi la mjukuu wangu kupokelewa,siyo kupata pasipoti nasema KUPOKELEWA kisa tu ni mtoto wa kike na wanadai watoto wanakwenda nje kufanya uhuni. Then wananiambia nikiendelea na uaroganti sitohudumiwa nikalalmike popote. Hayo yanatamkwa mbele yangu na afisa kabisa, it was shame especially in sense of communication skills and customer services. You abuse others kids just because umekalia kiti? No.
Dr. Makakala kama utaendelea na watoa huduma wanaoamini watoto wetu Sisi weusi wanakwenda kujiuza, wanaenda nje kufanya uhalifu utakuwa huna sababu za kupokea pongezi nilizotoa. Weka watu kwenye madirisha ya huduma kwa kuzingatia integrity na watu wanaotambua utu. Kutoa Pasipoti kwenye nchi nyingine ni kazi ya kiraia uaskari unaingia kwenye control. Kama mnaogopa kudanganywa wekeni sheria Kali ya Pasipoti, yeyote anayedanganya afungwe tuone kama kuna mgeni atakimbilia Pasipoti zetu. Ninyi mnashindwa kudili na wageni mnabaki kuwasumbua watoto wetu Kwa hisia tu wakati vigezo wanavyo?
Mwisho nikueleze udanganyofu unaofanyika na watoto wetu Kwa Sasa
1. Wanachapa barua za wazazi kwenye stationary nje bila hata idhini ya wazazi na kuwaletea Kwa sababu hakuna kigezo cha barua ya mzazi Kwa MTU yupo above 18. Mnalazimisha kudanganywa
2. Mnaomba benki statement za watoto na wazazi kwa malengo Gani?, Mjukuu wangu aligusiwa suala la benki statement na nilieleza hapa last time. Hizi taarifa za Siri za akaunti za wazazi mnataka watoto wajue masalio yetu watupige roba? Sheria inasemaje? Jaribuni kuwa reasonable Leo benk statement yangu inahusika na Mtoto wangu kupata pasipoti au kusafiri? Mnajua hizi nazo vijana wanatengeneza? Je mnaweza kwenda kuzihakiki? Benki iache kazi zake ianze kuwahakikia benk statement Kwa sheria ipi?
3. Vijana wengi wanabadili miaka ya kuzaliwa waonekane wakubwa
4. Vijana wanabadili majina na dini zao Kwa ajili ya kupata pasipoti hasa kwenda kufanya kazi nje, hii pia naomba ifahamike na haya ndiyo yanayoendelea hapo kwenu.
5. Mnawalazimisha watu kuiba copy za Pasipoti za watu nje Mtandaoni au kuwalazimisha kuanzisha mahusiano na wageni bila ridhaa Yao. Wanatengeneza email za mialiko hata pasipo na mialiko. Mmewafanya badhi ya mabinti na vijana kuwa watumwa wa Mataifa ya nje wafichiwe Siri ya udanganyifu walipolazimishwa kufanya udanganyifu wa vigezo. Hapa kuna element slavery au uvunjaji utu unaozaliwa kutokana na wish ya kijana kwenda nje. Mfano mzuri anagalieni trend ya wanawake wazungu wanavyoongezeka kuja kuwaombea pasipoti vijana wa Kimasai. Kwamba vijana wetu wa kimasai wanaoishi ufukwenu wanapaswa kuletwa kuombewa pasipoti na raia wa Kigeni? Kwamba Hadi amlete mama wa kizungu ndipo apewe pasipoti? Nadhani pia ukifanya utafiti eneo ili unaweza ukaboresha huduma na kulinda utu.
6. Kuna watoto awakufanya mitihani wanagushi vyeti wapate pasipoti. Jipe muda kuverfy vyeti vy shule, but the main factor ni vigezo nje ya sheria
7. Maafisa wanabadili taarifa za attachments vya wateja; mfano Mimi nilimwandikia mjukuu wangu barua nikasaini nakuweka namba yangu ya simu kama mlezi afisa akaondoa barua yangu akamwambia mjukuu wangu aende stationary nje ya ofisi akawaambie wamwandikie barua ya mzazi, mjukuu akauliza mama yupo mbali akaambiwa Wewe saini kwa niaba yake. You can see how these officers are even distroying evidence by forcing to be cheated. Tuliofanya kazi private sector tunafundishwa kuconcider first impression before second impression.........Uhamiaji chukueni kile Cha kwanza msijiingize sehemu ya uhalifu
8. Mteja anaomba pasipoti, anafika dirishani Kwa Afisa anakataliwa kupokelewa nakurudishwa na ombi lake.
Analazimisha apokelewe na aelezwe kosa au mapungufu anarudishwa bila kuingizwa kwenye system. Unaenda na application Kwa Afisa wa juu Naye hivyo hivyo.....unajiuliza hawa watu wanajua maana ya huduma mtandao? Tafsiri ya huduma mtandao unapokelewa na maamuzi yanafanywa kwenye mfumo Ili Kesho ukirudi kumbukumbu Zipo na kama afisa ni mvivu kuhudumia watu meneja ajue kupitia maamuzi yanayotolewa mapokezi. Itakuwa ni jambo lisilo na ueledi endapo afisa wa kaunti atapewa nafasi yakupokea au kumkataa Mteja without any reason kwenye system. How do they decide without seen alicholeta Mteja na alichoweka kwenye mfumo vinafanana? Madhara yake wanalazimisha ulichoscan online kiwe tofauti na real application waseme unadanganya...
Uhamiaji, hii style anakuja mtu mnayedhani hana kigezo mnamrudisha na fomu maana yake si mnamwambia akajaribu kwingine? You need to learn these issues kutoka mataifa yaliyoendelea achaneni na watendaji wenye akili zakuabudiwa you can not use manuaal minded kwenye electronic.
Waambie maafisa watupokee, andika kwenye system sina vigezo nikapambane na wakubwa zao siyo Wewe unajimilikisha ofisi ya umma. Nilikerwa sana unamuuliza afisa mkubwa kwanini msinpokee mkaweka hizo comments kwenye mfumo mkaacha kusumbua wateja nenda rudi hadi waende kwa kamishna na yeye anapokea ombi alijaingizwa mfumoni aaandike kwa mkono.........Dr. Makakala your staffs need coaching about e- service. Naamini wangetupokea wakaandika wananchi awana sifa at the end Kwa taasisi inayokua mngeweza kutengeneza ripoti ya maombi ya wateja waliopokelewa wakakosa sifa then mngeweza kuja measures nzuri sana kwenye utoaji huduma. Every data in electronic system it has its meaning for managers, ninyi hizi data za wasio na vigezo by age, fogery,cheating nationality mnazipata wapi kama mpo manually?
Nenda kaombe visa Marekani then wakuambie rekebisha moja mbili Tatu uwazunguke uone.......system will speak out the last decision.
Hii tabia yakutopokelewa Kwa wateja wakaingizwa kwenye system imekuwa sehemu kubwa ya kusababisha Rushwa na ndiyo inayopelekea vijana kukaa kwenye vibanda nje nakukabidhi maombi yao Kwa vishoka. I observed it, unasikia una shilingi ngapi nikamtafute mtu mwingine akupokee.....ni jambo lipo wazi kabisa.
Hivyo nikuombe Dr. elekeza na toa public notice kwamba Mteja yeyote wa pasipoti ambaye atakataliwa kupokelewa na afisa ofisi yoyote basi akupigie simu kutoa malalamiko: kama Hana sifa ajulishwe kwa utaratibu hana sifa na maafisa wasishriki kubadili nyaraka za wateja kwasababu mnatuambia tusncan. Tuambieni tulete mpya Ile ibaki siyo afisa kushiriki kuzibadilisha nyaraka za wateja na kufanya tiluonekana na taarifa kinzani. Huu utaratibu wa maafisa kukataa wateja, tunatoka nje tunapokelewa na wauni tu na wanapokea pesa then tunaambiwa nenda next door wateja wanapokelewa ni mfumo wa kuwakatalia wateja huduma Kwa sababu ya rushwa.
Afisa huyu anakataa then akija kishoka au hata mteja akienda kwa mwingine anakubali. This rejection of applications with no grounds ni mfumo wenye baraka za ndani na unaproof pale unapokwama ukaenda kwa kamishna asikuulize wapi huyo afisa kacoment kuwa usipokelewe? Yeye anaandika apokelewe, kwanini asikutane na application kwenye mfumo?
Dr. Makakala siku ukielekeza wateja wote wapokelewe na wajibiwe aidha manually au wakute comments kwenye akaunti zao basi utapunguza rushwa na wewe Mwenyewe utaweza kuboresha endapo rejectolion zitakuwa nyingi. Mwisho itakusaidia kujua weusi wangapi awana tatizo la uraia wamekataliwa na wenye rangi wangapi wasio na tatizo la uraia wamekataliwa.
Nchi za Ulaya sisi weusi tunabaguliwa then huku ndani Nako tubaguane. Hapana
Nikutakie afya njema, endelea kufanya reform may be one day utatufanya Watanzania kusafiri nje isiwe anasa iwe kawaida. Na kulifanya ilo Anza kubadili maafisa wako mindset wawe watoa huduma wawachie wadhibiti kazi Yao.