DIT kunani?

Posho City

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
646
415
Wadau DIT kama mnakumbuka mnamo february 2015 walitangaza nafasi za kazi..Mei 8-12/2015 ukafanyika usaili lakini tangu hapo kimya..
Je kuna mwenye updates au ndo lbda watu washaanza kazi jamani?
 
Back
Top Bottom