Disgusting,why soccer not politics!!!!!

msabato masalia

Senior Member
Dec 3, 2008
118
20
:mad:Wa-tz bwana.............ifungwe Taifa stars,full kulalamika,ITV,Channel 10 fukuza Maximo,..........wakiibiwa...........Mungu yupo!!!!!!!!Aaaaaaaaaaaaaaaaaagh,nendeni tena kwenye Tv mseme tumeibiwa. Mbona pesa ya Yanga na Simba pesa inapoliwa mnakuwa wakali kwenda hadi mahakamani kupinga????? Hivi kwa nini? Nimekata tamaaa. Home sweet Home???????????
 
Very damn good question.

1. More people care more about soccer than they do about the economy and politics.
2. Most people can better follow soccer than they can the economy and politics.
3.Most people who can follow politics and the economy know enough to be cynical enough not to expose themselves on TV. Do you think JF would have been such an outspoken natured forum if there was no anonimity?
4.The "professional" complainers aka opposition are giving complaining about the economy and politics a bad name.

There are some more factors, the above are the major ones.
 
Very damn good question.

1. More people care more about soccer than they do about the economy and politics.
2. Most people can better follow soccer than they can the economy and politics.
3.Most people who can follow politics and the economy know enough to be cynical enough not to expose themselves on TV. Do you think JF would have been such an outspoken natured forum if there was no anonimity?
4.The "professional" complainers aka opposition are giving complain about the economy and politics a bad name.

There are some more factors, the above are the major ones.

Mjomba tunakuna pale tunapoweza kufikia....lol!

Jaribu kugusa akina RA wakati hata M.Pinda amesema "hawa watu ni wajanja sana"
 
:mad:Wa-tz bwana.............ifungwe Taifa stars,full kulalamika,ITV,Channel 10 fukuza Maximo,..........wakiibiwa...........Mungu yupo!!!!!!!!Aaaaaaaaaaaaaaaaaagh,nendeni tena kwenye Tv mseme tumeibiwa. Mbona pesa ya Yanga na Simba pesa inapoliwa mnakuwa wakali kwenda hadi mahakamani kupinga????? Hivi kwa nini? Nimekata tamaaa. Home sweet Home???????????

Katibu Mkuu Yanga adai amekuta akaunti nyeupe

Na Sosthenes Nyoni

TUHUMA za matumizi mabaya ya fedha kiasi cha shilingi milioni 100 ndani ya klabu ya Yanga zimechukua sura mpya baada ya katibu mkuu wa klabu hiyo, Lawrence Mwalusako kueleza kuwa alikuta fedha kidogo kwenye akaunti ikilinganishwa na zile zinazodaiwa kufujwa.

Mwalusako ambaye hakutaka kukiri kufujwa kwa fedha hizo au la, alieleza kushangazwa na ufujaji huo wa fedha na kutaka suala hilo aulizwe aliyekuwa katibu mkuu , Lucas Kisasa kwa kuwa ndiye anayehusika moja kwa moja.

"Tangu niingie madarakani kila kitu kinakwenda sawa, ila hizo fedha mimi sikuzikuta ,sijui chochote kuhusu hilo kama zilikuwepo au la.

Kisasa ndiye aliyekuwa mtendaji ni vema akaulizwa yeye, ninatumaini atakuwa na majibu ya kutosha kuhusu fedha hizo.

"Kimsingi, mimi siwezi kujua undani suala hilo kwa sababu klabu pia ina matumizi yake ya hapa na pale, hivyo ukimtafuata (Kisasa), bila shaka utapata ufafanuzi wa kutosha,"alisema Mwalusako.

Hata hivyo, Kisasa alipotafutwa kwa simu zake mbili za mkononi, hazikuwa na majibu zaidi ya kuita bila kupokewa.

Mwalusako, kwa upande wake aliongeza kuwa ni kweli wanachama na wapenzi wa klabu hiyo wamekuwa wakitoa michango yao kila kukicha, lakini hadhani kwamba michango kama inaweza kufikia kiasi kilichotajwa.

Alisema kuwa yeye ni katibu wa kuajiriwa ambaye anafanya kazi kwa misingi ya katiba ya klabu ya Yanga na kwa kuifuata maelekezo ya kamati ya utendaji, hivyo hana shaka kwamba kila kitu kinaenda sawa tangu alipotwaa madaraka.

"Mimi ni katibu wa kuajiriwa wa klabu ya Yanga nafanya kazi kwa kufuata katiba iliyopo na pia kupokea maelekezo kutoka kamati ya utendaji, sasa katika hilo sina shaka hata kidogo kwamba kila kitu kinakwenda sawa tangu nilipoingia madarakani,"alisema.

Jana, Mwananchi iliripoti kwa mara ya kwanza tuhuma za baadhi ya wanachama wa klabu hiyo kuutaka uongozi wa klabu yao chini ya mwenyekiti, Imani Madega kuweza wazi kuhusu fedha za malipo ya kadi za unachama zinazodaiwa kufikia mlioni 100.

Hata hivyo, Madega aliiambia Mwananchi kuwa ni majungu ambayo yamekuwa yakienezwa kwa lengo la kuonyesha kuwa uongozi wake umetumia vibaya fedha za ada ya uanachama wa klabu hiyo.
 
soka hakuna bongo,wachezaji wakishapata majina full kujitanua mitaani na kuuza sura kwa kina mwajuma ndalandefu
 
Back
Top Bottom