Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Nadhani tunalumbana bure tu kuhusu hii kachfa ya Mchungaji. Kama imefanyika zamani au jana hoja ni kuwa Mchungaji alipotoka na kuidhalilisha Imani ya Kikristo. Kitu muhimu hapa ni kuwa Mtumishi amekiri juu ya dhambi zake na upotovu wake.
Hata hivyo tukumbuke maneno ya Yesu Kristo juu ya Manabii wa Uongoaliposema: Jihadharini na Manabii wa Uongo wanowajia wakivaa ngozi ya kondoo wakati ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao... si kila aniitaye BWANA, BWANA ataingia ufalme wa Mungu...Matayo 7: 15-16; 21..(sisemi kuwa huyu Mchungaji ni Nabii wa Uongo- huenda Kristo amemsamehe dhambi zake maana amekiri na lbda ametubu pia).
Nachotaka kusema hapa, haijalishi kuwa ni Mchungaji, Nabii, Mtume, au Mlei, KITU MUHIMU NI KUWA KRISTO AMETUFUNDIHA NINI? NA CHARACTERISTICS ZA KRISTO MWENYEWE ZINAFANANA NA MCHUNGAJI, NABII AU MTUME HUYO? Muhimu ni ...tutawatambua kwa matunda yao (matendo)
AMINA Mtumishi Ibrah..
Baada ya haya maneno yenye HIKMA KUBWA , tunaomba MODS wai-scrape hii thread mjinga.
Shukran.