Diplomatic, trade row as Dar blocks Ugandan exports

Wameshaona Kikwete anaingia kwenye historia kwa kusaini mkataba wa reli ya Uganda, wanaanza fitina zao. Kama kawaida tunawajuwa ni kina nani.
 
Wameshaona Kikwete anaingia kwenye historia kwa kusaini mkataba wa reli ya Uganda, wanaaza fitina zao. Kama kawaida tunawajuwa ni kina nani.

Blackbold:

Ungewataja huku ukiambatanisha na ushahidi (ili nasi tuweze kuwashauri waache tabia hiyo) lingekuwa jambo jema, maana kuwa na mgogoro wa kidiplomasia na jirani zetu sio jambo jema kwa afya ya Taifa letu.
 
FaizaFOXY ni vuvuzela. Mkataba wa reli hakuna akili iliyotumika, naungana na mjumbe aliyesema reli ya kati tosha, kama usimamizi utakuwepo. It's wastage, not viable kuanzisha kitu kipya kwa pesa yote hiyo. Ni ushabiki wa kiasi. But wewe you seem to the she boko harram, you sound that.
 
Wameshaona Kikwete anaingia kwenye historia kwa kusaini mkataba wa reli ya Uganda, wanaaza fitina zao. Kama kawaida tunawajuwa ni kina nani.
wataje tu DADA, nakuomba wataje. lkn FF jiulize reli ya kati ilijengwa na wajerumani. leo hii inasuasua, kama pesa ipo kwanini serikali ya JK isiimarishe hii ikiwezekana tiiione BULLET TRAIN, kupunguza muda wa kusafari kati ya Knda ya ziwa na kanda ya magharibi. Unaonaje dada FF, BONGO pesa ipo BONGO pesa ipo tatizo kuamua tu
 
Wakenya hao..nimemsaidia FF kuwataja.

hahaha....mtazamo wa watz kweli! hivi sasa kenya imewafanya nini ama iliwahi wakosea kivipi? Wakati mwingine nikidurusu mnayo yaandika humu JF nastaajabishwa. Kenya haina vikwazo vyovyote kwa watz na sera zake, si nyi taifa huru? Haya basi, tekelezeni ya kwenyu, hamjatiwa bunduki kwenye kisogo.
 
Blackbold:

Ungewataja huku ukiambatanisha na ushahidi (ili nasi tuweze kuwashauri waache tabia hiyo) lingekuwa jambo jema, maana kuwa na mgogoro wa kidiplomasia na jirani zetu sio jambo jema kwa afya ya Taifa letu.

Utawajuwa tu.
 
Back
Top Bottom