Dini hizi ndo zitakazotupeleka Motoni tena kilahisi fuatilia Mahojiano yangu na huyu Shekhe

Rwetembula Hassan Jumah

Senior Member
Jan 25, 2023
140
188
Asante Muumba wangu na watu wote muumba Arshi,Mbingu na vilivyomo.
...
Karibu mpenzi Mwanajukwaa leo nimekuletea mambo baadhi yaliyokuwako na mwisho wakakopy na kuingiza kwenye utaratibu wa dini zao na kutumia majina ya wakwao pamoja na viongozi wao wakidai ni maagizo toka Kwa muumba wetu ila sio kweli?
Mimi ni muumini wa dini ya kiislamu, nishawai kufanya mahojiano na ustadhi au shekhe wangu yaani mtu aliyenizidi kielimu kwa upande wa dini na mambo ambayo nilimuuliza nikama yafuatayo.
1. Ni limuuliza hivi ni kweli uislamu ulikuwepo kabla ya Mtume Mohammad (S.a.w) jibu lake alilonijibu eeh ndio ulikuwepo kabla ya mtume na kabla ya Adamu.
2. Nikauliza ina maana hata Adamu alikuwa ni Muislamu? Shekhe.. akajibu ndio Adamu alikuwa ni muislamu .
3. Nikauliza tena, kwahiyo mtume Mohammad nikiongozi wa Adamu? Maana mtume ndiye aliyepewa jukumu la KUFUNDISHA uislamu na kipindi cha Mtume Mohammad (S.a.w) Adamu alikuwa ashakufa.

• Majibu ya maswali haya yalikuja kama ifutavyo... Mtume Mohammad amekuja kukamilisha tu ila yote yalikuweko huko nyuma, watu waliswali, walitoa dhaka na n.k kuna baadhi ya mambo yaliongezwa kwenye umma wetu kama sala. Kipindi cha Nyuma wali swali sala Mbili ila sisi tunaswali tano.
Alfajiri (Asubuh) Zuhuri, Lahasir, magharibi na Ishai...

... Majibu hayakujitoshereza maana alijibu kwa ufupi mno sana....
• Nikauliza kwahiyo Afrika tulisaulika kuletewa nabii wetu? Jibu hapana sisi tulikuwa na afadhari hatukuwa na madhambi makubwa makubwa (Nikapanote hapa) akaongezea nabii WALIKUJA kwa ukumbusho maana binadamu walikuwa wanajisahau sana kwamfano Nabii Musa yeye ni ukombozi wa waizrael wa misri waliokuwa Mateka na farau.

• Yesu alikuwa kwa Mataifa 12 n.k
....... AFRIKA HATUKUWA NA BAYA , AKAONGEZEA KIONGOZI PIA AFRIKA TULIKUWA WACHACHE AKAWA ANAJIFIKILIA TENA AU UENDA AFRIKA HAPA KUWA NA WATU WENGI MAANA TUPO NJE NA DINI AMBAKO ZILIFIKIA AU MANABII ...
(nikagundua kitu na nikasoma kitu
Watu wadini uenda tukapotea kutokana na kufuata watu waliopewa muongozo kuliko kufuata aliyewapa hao viongozi Muongozo)

Maana yangu ni kwamba Watu wanapigana kuhusu yesu na Mtume Mohammad bila kutambua hawa wote ni binadamu na kuna Aliyewaumba ambaye ni Mungu Alfa na Omega.
.... yanatukuzwa majina Haya Yesu kristo na Mtume Mohammad ......
Dini zimekuja kupoteza watu miongozo imetawaliwa na sayansi na tambua sayansi iko against na Mambo ya Mungu inafanya kinyume inajitahidi nayo kukopy.

...... BAADHI YA MAMBO YALIYOKUWA YAKIFANYWa NA BABU ZETU NA LEO HII YAMEKATAZWA NA KUONEKANA NI UCHAWI NA ULOZI KWENYE DINI , ILA YAMEPATA NAFASI KWENYE DINI KWA SURA NYINGINE.. HAYA HAPA

• WAFU ... katika Tamaduni na MILA za Afrika Wafu walithaminiwa sana na kukumbukwa sana kila baada ya Miaka kadha au kwa kipindi fulani ila wazungu na waarabu wakadai hizo ni Mizimu 🤔 Wafu hao ni Mizimu babu zetu, Wazee wetu waliotuzaa ila sasa tusiende mbali kwenye Dini ya Kiislamu nasemea uislamu kwasababu niko katika Dini hii, Kuna Maswahaba wa Mtume Mohammad (S.a.W) wanatajwa kila siku maanake nini kwani Wao sio wafu? Swali kwa Waislamu naomba jibu mnisaidie hapo...........

[ ] Nishawai kumuuliza shekhe hivi jina la (Byarugaba na Abdulkarimu ) tukitoa UTOFAUTI wa lugha na Maana kuna tofauti gani nyingine? Alichonijibu ni kwamba majina ya kiirabu ni ya watu Wema🤔

[ ] ☝️ Turudi Kwenye point yetu ya Wafu na Mizimu (AFRIKA SISI NDO TUNAMILIKI MIZIMU NA ROHO CHAFU ... HAYA KAMA MTUME MOHAMMAD ANATAMBUA UCHAWI WE UNADHANI UCHAWI ULITOKA AFRIKA NA KWENDA UKO MADINA . NA KILA SEHEMU IKO NA UCHAWI WAKE... WAARABU WANATUMIA ......
[ ] ....WAFU BADO WANATUKUZWA KWENYE NJIA ZOTE UKRISTO NA UISLAMU.. ILA SISI KUWATUKUZA WAFU WETU NI DHAMBI TUNATUKUZA MIZIMU.... INAUMA SANA...
👇👇👇👇
[ ] NAOMBA KUPATA UFAFANUNUZI KUHUSU UKITUMIA DAWA NA UKAMUOMBA MUNGU UPONE UTAKUWA UMEMSHIRIKISHA MUNGU AU VEEP. MAANA AMESEMA TUSIMSHIRIKISHE NA CHOCHOTE 🙏
[v] ........
[v] .......
AFRIKA NI SEHEMU YA PARADISO ...JIULIZE KWANINI KILA KUKICHWA WAGENI WANAKUJA .
........ NAWATAKIA SIKU NJEMA....
 
Wafia dini wanaogopa uzi huu kama moto, ngoja niusome tena kwa umakini nipate cha kujibu, kukubali au kupinga, hoja za nguvu zipo
 
Una tahdharishwa kwamba:
Matumizi ya lugha ya unyanyapaa na unyanyasaji au lugha ya kibaguzi(racist language) umegundulika/yamegunduliwa katika uzi huu.
Mleta mada katika uzi huu amekuwa akirusha mada za kichonganishi kati ya Jamii za dini ya kiisilamu na kikristo n.k huku akiwa na nia hasi na ya kutia hasira jamii.

Umeonywa. Shirikiana kwa uangalifu mkubwa
 
Mkuu Rwetembula Hassan Jumah unataka kujua ni kwa nini jina la Yesu linasifiwa na kutukuzwa, unataka kufahamu ni kwa nini wafu wetu wanaonekana ni mizimu, kama upo Dar basi karibu sana katika Kongamano litalofanyika kuanzia tarehe 26/04 mpaka tarehe 30/04/2023 Kibamba Hondogo, utapata majibu kwa maswali yako yote.

Mizimu hata Israel ilikuwepo lakini ilikuwa ikitumiwa na watu waliokosa majibu kutoka kwa Mungu. Ukisoma 1 Samweli 28:3,8,11 utaona;

Basi Samweli alikuwa amefariki dunia, nao Israeli wote walikuwa wamemwomboleza, na kumzika huko Rama, ndani ya mji wake mwenyewe. Basi Sauli akajigeuza, na kuvaa mavazi mengine, kisha akaenda, yeye na watu wawili pamoja naye, wakamfikilia yule mwanamke usiku; akasema, Tafadhali unibashirie kwa utambuzi, ukanipandishie yeye nitakayemtaja kwako. Ndipo yule mwanamke aliposema, Je! Ni nani nitakayekupandishia? Naye akasema, Nipandishie Samweli.
 
Attachments

  • IMG-20230418-WA0000.jpg
    IMG-20230418-WA0000.jpg
    135.2 KB · Views: 7
Asante Muumba wangu na watu wote muumba Arshi,Mbingu na vilivyomo.
...
Karibu mpenzi Mwanajukwaa leo nimekuletea mambo baadhi yaliyokuwako na mwisho wakakopy na kuingiza kwenye utaratibu wa dini zao na kutumia majina ya wakwao pamoja na viongozi wao wakidai ni maagizo toka Kwa muumba wetu ila sio kweli?
Mimi ni muumini wa dini ya kiislamu, nishawai kufanya mahojiano na ustadhi au shekhe wangu yaani mtu aliyenizidi kielimu kwa upande wa dini na mambo ambayo nilimuuliza nikama yafuatayo.
1. Ni limuuliza hivi ni kweli uislamu ulikuwepo kabla ya Mtume Mohammad (S.a.w) jibu lake alilonijibu eeh ndio ulikuwepo kabla ya mtume na kabla ya Adamu.
2. Nikauliza ina maana hata Adamu alikuwa ni Muislamu? Shekhe.. akajibu ndio Adamu alikuwa ni muislamu .
3. Nikauliza tena, kwahiyo mtume Mohammad nikiongozi wa Adamu? Maana mtume ndiye aliyepewa jukumu la KUFUNDISHA uislamu na kipindi cha Mtume Mohammad (S.a.w) Adamu alikuwa ashakufa.

• Majibu ya maswali haya yalikuja kama ifutavyo... Mtume Mohammad amekuja kukamilisha tu ila yote yalikuweko huko nyuma, watu waliswali, walitoa dhaka na n.k kuna baadhi ya mambo yaliongezwa kwenye umma wetu kama sala. Kipindi cha Nyuma wali swali sala Mbili ila sisi tunaswali tano.
Alfajiri (Asubuh) Zuhuri, Lahasir, magharibi na Ishai...

... Majibu hayakujitoshereza maana alijibu kwa ufupi mno sana....
• Nikauliza kwahiyo Afrika tulisaulika kuletewa nabii wetu? Jibu hapana sisi tulikuwa na afadhari hatukuwa na madhambi makubwa makubwa (Nikapanote hapa) akaongezea nabii WALIKUJA kwa ukumbusho maana binadamu walikuwa wanajisahau sana kwamfano Nabii Musa yeye ni ukombozi wa waizrael wa misri waliokuwa Mateka na farau.

• Yesu alikuwa kwa Mataifa 12 n.k
....... AFRIKA HATUKUWA NA BAYA , AKAONGEZEA KIONGOZI PIA AFRIKA TULIKUWA WACHACHE AKAWA ANAJIFIKILIA TENA AU UENDA AFRIKA HAPA KUWA NA WATU WENGI MAANA TUPO NJE NA DINI AMBAKO ZILIFIKIA AU MANABII ...
(nikagundua kitu na nikasoma kitu
Watu wadini uenda tukapotea kutokana na kufuata watu waliopewa muongozo kuliko kufuata aliyewapa hao viongozi Muongozo)

Maana yangu ni kwamba Watu wanapigana kuhusu yesu na Mtume Mohammad bila kutambua hawa wote ni binadamu na kuna Aliyewaumba ambaye ni Mungu Alfa na Omega.
.... yanatukuzwa majina Haya Yesu kristo na Mtume Mohammad ......
Dini zimekuja kupoteza watu miongozo imetawaliwa na sayansi na tambua sayansi iko against na Mambo ya Mungu inafanya kinyume inajitahidi nayo kukopy.

...... BAADHI YA MAMBO YALIYOKUWA YAKIFANYWa NA BABU ZETU NA LEO HII YAMEKATAZWA NA KUONEKANA NI UCHAWI NA ULOZI KWENYE DINI , ILA YAMEPATA NAFASI KWENYE DINI KWA SURA NYINGINE.. HAYA HAPA

• WAFU ... katika Tamaduni na MILA za Afrika Wafu walithaminiwa sana na kukumbukwa sana kila baada ya Miaka kadha au kwa kipindi fulani ila wazungu na waarabu wakadai hizo ni Mizimu 🤔 Wafu hao ni Mizimu babu zetu, Wazee wetu waliotuzaa ila sasa tusiende mbali kwenye Dini ya Kiislamu nasemea uislamu kwasababu niko katika Dini hii, Kuna Maswahaba wa Mtume Mohammad (S.a.W) wanatajwa kila siku maanake nini kwani Wao sio wafu? Swali kwa Waislamu naomba jibu mnisaidie hapo...........

[ ] Nishawai kumuuliza shekhe hivi jina la (Byarugaba na Abdulkarimu ) tukitoa UTOFAUTI wa lugha na Maana kuna tofauti gani nyingine? Alichonijibu ni kwamba majina ya kiirabu ni ya watu Wema🤔

[ ] ☝️ Turudi Kwenye point yetu ya Wafu na Mizimu (AFRIKA SISI NDO TUNAMILIKI MIZIMU NA ROHO CHAFU ... HAYA KAMA MTUME MOHAMMAD ANATAMBUA UCHAWI WE UNADHANI UCHAWI ULITOKA AFRIKA NA KWENDA UKO MADINA . NA KILA SEHEMU IKO NA UCHAWI WAKE... WAARABU WANATUMIA ......
[ ] ....WAFU BADO WANATUKUZWA KWENYE NJIA ZOTE UKRISTO NA UISLAMU.. ILA SISI KUWATUKUZA WAFU WETU NI DHAMBI TUNATUKUZA MIZIMU.... INAUMA SANA...
👇👇👇👇
[ ] NAOMBA KUPATA UFAFANUNUZI KUHUSU UKITUMIA DAWA NA UKAMUOMBA MUNGU UPONE UTAKUWA UMEMSHIRIKISHA MUNGU AU VEEP. MAANA AMESEMA TUSIMSHIRIKISHE NA CHOCHOTE 🙏
[v] ........
[v] .......
AFRIKA NI SEHEMU YA PARADISO ...JIULIZE KWANINI KILA KUKICHWA WAGENI WANAKUJA .
........ NAWATAKIA SIKU NJEMA....
Kafanye mambo ya maendeleo ukiendelea kufuatilia vitu vilivyo juu ya uwezo wako ndio mwanzo wa kuchanganyikiwa.
 
Mkuu Rwetembula Hassan Jumah unataka kujua ni kwa nini jina la Yesu linasifiwa na kutukuzwa, unataka kufahamu ni kwa nini wafu wetu wanaonekana ni mizimu, kama upo Dar basi karibu sana katika Kongamano litalofanyika kuanzia tarehe 26/04 mpaka tarehe 30/04/2023 Kibamba Hondogo, utapata majibu kwa maswali yako yote.

Mizimu hata Israel ilikuwepo lakini ilikuwa ikitumiwa na watu waliokosa majibu kutoka kwa Mungu. Ukisoma 1 Samweli 28:3,8,11 utaona;

Basi Samweli alikuwa amefariki dunia, nao Israeli wote walikuwa wamemwomboleza, na kumzika huko Rama, ndani ya mji wake mwenyewe. Basi Sauli akajigeuza, na kuvaa mavazi mengine, kisha akaenda, yeye na watu wawili pamoja naye, wakamfikilia yule mwanamke usiku; akasema, Tafadhali unibashirie kwa utambuzi, ukanipandishie yeye nitakayemtaja kwako. Ndipo yule mwanamke aliposema, Je! Ni nani nitakayekupandishia? Naye akasema, Nipandishie Samweli.
Imeandikwa wapi kwamba mwanamke akaongoze mwanaume
 
Asante Muumba wangu na watu wote muumba Arshi,Mbingu na vilivyomo.
...
Karibu mpenzi Mwanajukwaa leo nimekuletea mambo baadhi yaliyokuwako na mwisho wakakopy na kuingiza kwenye utaratibu wa dini zao na kutumia majina ya wakwao pamoja na viongozi wao wakidai ni maagizo toka Kwa muumba wetu ila sio kweli?
Mimi ni muumini wa dini ya kiislamu, nishawai kufanya mahojiano na ustadhi au shekhe wangu yaani mtu aliyenizidi kielimu kwa upande wa dini na mambo ambayo nilimuuliza nikama yafuatayo.
1. Ni limuuliza hivi ni kweli uislamu ulikuwepo kabla ya Mtume Mohammad (S.a.w) jibu lake alilonijibu eeh ndio ulikuwepo kabla ya mtume na kabla ya Adamu.
2. Nikauliza ina maana hata Adamu alikuwa ni Muislamu? Shekhe.. akajibu ndio Adamu alikuwa ni muislamu .
3. Nikauliza tena, kwahiyo mtume Mohammad nikiongozi wa Adamu? Maana mtume ndiye aliyepewa jukumu la KUFUNDISHA uislamu na kipindi cha Mtume Mohammad (S.a.w) Adamu alikuwa ashakufa.

• Majibu ya maswali haya yalikuja kama ifutavyo... Mtume Mohammad amekuja kukamilisha tu ila yote yalikuweko huko nyuma, watu waliswali, walitoa dhaka na n.k kuna baadhi ya mambo yaliongezwa kwenye umma wetu kama sala. Kipindi cha Nyuma wali swali sala Mbili ila sisi tunaswali tano.
Alfajiri (Asubuh) Zuhuri, Lahasir, magharibi na Ishai...

... Majibu hayakujitoshereza maana alijibu kwa ufupi mno sana....
• Nikauliza kwahiyo Afrika tulisaulika kuletewa nabii wetu? Jibu hapana sisi tulikuwa na afadhari hatukuwa na madhambi makubwa makubwa (Nikapanote hapa) akaongezea nabii WALIKUJA kwa ukumbusho maana binadamu walikuwa wanajisahau sana kwamfano Nabii Musa yeye ni ukombozi wa waizrael wa misri waliokuwa Mateka na farau.

• Yesu alikuwa kwa Mataifa 12 n.k
....... AFRIKA HATUKUWA NA BAYA , AKAONGEZEA KIONGOZI PIA AFRIKA TULIKUWA WACHACHE AKAWA ANAJIFIKILIA TENA AU UENDA AFRIKA HAPA KUWA NA WATU WENGI MAANA TUPO NJE NA DINI AMBAKO ZILIFIKIA AU MANABII ...
(nikagundua kitu na nikasoma kitu
Watu wadini uenda tukapotea kutokana na kufuata watu waliopewa muongozo kuliko kufuata aliyewapa hao viongozi Muongozo)

Maana yangu ni kwamba Watu wanapigana kuhusu yesu na Mtume Mohammad bila kutambua hawa wote ni binadamu na kuna Aliyewaumba ambaye ni Mungu Alfa na Omega.
.... yanatukuzwa majina Haya Yesu kristo na Mtume Mohammad ......
Dini zimekuja kupoteza watu miongozo imetawaliwa na sayansi na tambua sayansi iko against na Mambo ya Mungu inafanya kinyume inajitahidi nayo kukopy.

...... BAADHI YA MAMBO YALIYOKUWA YAKIFANYWa NA BABU ZETU NA LEO HII YAMEKATAZWA NA KUONEKANA NI UCHAWI NA ULOZI KWENYE DINI , ILA YAMEPATA NAFASI KWENYE DINI KWA SURA NYINGINE.. HAYA HAPA

• WAFU ... katika Tamaduni na MILA za Afrika Wafu walithaminiwa sana na kukumbukwa sana kila baada ya Miaka kadha au kwa kipindi fulani ila wazungu na waarabu wakadai hizo ni Mizimu 🤔 Wafu hao ni Mizimu babu zetu, Wazee wetu waliotuzaa ila sasa tusiende mbali kwenye Dini ya Kiislamu nasemea uislamu kwasababu niko katika Dini hii, Kuna Maswahaba wa Mtume Mohammad (S.a.W) wanatajwa kila siku maanake nini kwani Wao sio wafu? Swali kwa Waislamu naomba jibu mnisaidie hapo...........

[ ] Nishawai kumuuliza shekhe hivi jina la (Byarugaba na Abdulkarimu ) tukitoa UTOFAUTI wa lugha na Maana kuna tofauti gani nyingine? Alichonijibu ni kwamba majina ya kiirabu ni ya watu Wema🤔

[ ] ☝️ Turudi Kwenye point yetu ya Wafu na Mizimu (AFRIKA SISI NDO TUNAMILIKI MIZIMU NA ROHO CHAFU ... HAYA KAMA MTUME MOHAMMAD ANATAMBUA UCHAWI WE UNADHANI UCHAWI ULITOKA AFRIKA NA KWENDA UKO MADINA . NA KILA SEHEMU IKO NA UCHAWI WAKE... WAARABU WANATUMIA ......
[ ] ....WAFU BADO WANATUKUZWA KWENYE NJIA ZOTE UKRISTO NA UISLAMU.. ILA SISI KUWATUKUZA WAFU WETU NI DHAMBI TUNATUKUZA MIZIMU.... INAUMA SANA...
👇👇👇👇
[ ] NAOMBA KUPATA UFAFANUNUZI KUHUSU UKITUMIA DAWA NA UKAMUOMBA MUNGU UPONE UTAKUWA UMEMSHIRIKISHA MUNGU AU VEEP. MAANA AMESEMA TUSIMSHIRIKISHE NA CHOCHOTE 🙏
[v] ........
[v] .......
AFRIKA NI SEHEMU YA PARADISO ...JIULIZE KWANINI KILA KUKICHWA WAGENI WANAKUJA .
........ NAWATAKIA SIKU NJEMA....
 
Siku nyingine ukiwa na maswali kuhusu uislam karibu sana Pm kwangu kwa ufafanuzi ukiwa na lengo ka kuelewa kwa dalili
NB: usije kwa lengo la kubishana plz
 
Back
Top Bottom