dictatorship

lady roranky

Member
Aug 7, 2011
73
14
Chadema chama chetu tunakipenda tunakuwa na waswas kwamba watakapo kuwa madarakan kuta kuwa ma hali ya udictator kutokana na baadhi ya makamanda wamekuwa wanadictate wanawake kufanya nao mapenzi kwa sababu ya majina Yao na wakikataa wanawatishia kuwaharibia mambo Yao,dis z too bad...MY advice z let them try to control their bad personal behaviours coz wanatutia mashakan...:'(
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom