Diamond Platnumz Kununua Viewers na Followers

Huyu jamaa katika harakati zake za kutafuta umaarufu waga anakaa tu na kufklia kitu cha kuandika basi, mara ajifanye anatoa ushauri, mara anamponda kiba, mara hivi na vile, hapo hakuna cha mdau wala mkereketwa anabishana na akili zake tu, ss kuna baadhi ya watu watakuja nakutokwa povu weee utazani issue yenyewe ina ukweli wowote

Bahati mbaya mi huwa sina ushabiki maandazi kwamba nimpendelee huyu na yule nimponde. panapo ukweli lazma waambiwe na hicho ndo kinafanya mziki uende mbele."
file.jpg
 
Nitoboeee.?
Baada ya nguli wa mziki wa Bongo fuleva kuvunja rekodi ya video yake "kutizamwa" mara nyingi zaidi ya video yoyote afrika kwa muda mfupi wadau wamejitokeza na kusema kuwa "eti" mkali huyo ananunua Viewers ili video zake zionekane zinatazamwa zaidi wakati kiuhalisia Video za Alikiba ndo zinapaswa kuwa na viewers wengi zaidi. Wadau hao pia wameongeza kuwa hata wale "folowaz" mamilion kule instagram amewanunua na wengi wao ni fake. "Kiukweli DIMONDI hana hadhi ya kutazamwa mara M1ndani ya siku nne,labda kama amenunua vyuwaz" alisema mkoja wa wakereketwa waliochukizwa na video hiyo kutizamwa zaidi.
Naombeni mniambie hivi ni kweli mtu anaweza kununua "vyuwaz" maana me mgeni katika maswala haya ya mitandaoView attachment 371873

Kwanza yeye ni diamomd fake lazma awe na followers fake maana kila kitu fake hata miziki anayoimba fake
 
Jina umebadili wewe sakafu?

Ukionaga tuzo zinawika unapagawa

*********

Furahia wa nchini kwetu, kumpigia mtanzania mwenzetu Diamond Platnumz aka Chibu kura ya tuzo za aina 3.

Afrimma Awards link hii zipo 4

Nominees 2016 | AFRIMMA

*********

AEA USA AWARDS zipo 5

www.aeausa.net/vote

Utakutana na maelezo haya chini...nimeweka uyasome mapema ukiingia unajimwaga tu...

" Voting Instruction: Please select at least 3 voting categories then login with your facebook or email in order to cast the vote. Anonymous data collection is only for the voting authentication purposes. For more information please contact us."

************

Uganda Entertainment Awards zipo 2

http://ugandaentertainmentawards.com/
 
Kama ana uwezo wa kununua viewers milioni mbili sasa anahangaika na mziki wa nini??? Si awe bakhressa tu..

Uliyeanzisha hii thread next time tumia uto tuakilili twako hata kama ni twudogo dogo
 
Ninachofahamu siku ya tatu nilipoutafuta kile kichupa cha kidogo dogo viewers kwenye video order ilisoma laki 9 plus nikaona duh hii si hatari sasa me sikushawawishiwa na mtu na nikadownload sasa ubaya WA uchawi WA kizungu hata ww usiempenda DIAMOND unapojikuta tu umejaribu kukicheck kichupa chake counter inakuhesabu kule mtu WA milioni na moja matokeo yake wenyewe wenye roho mbaya ndio wanaoongeza idadi ya mond kubamba online Bila kujijua.
 
Hahahhahaahahahah mabweha chuki zikizidi, bado mnahangaika, kiba kalipa watu wakamzomey mondi sasa leo eti nayeye amelipa viuew hahahagahahagahahah get a life, bweo
 
Kwa akili ya kawaida wanasema tuzo anahonga, analipa watu kuja kwenye show, analipa watu kuja kwenda kumpokea, analipa watu ku request nyimbo zake, analipa vituo cha redio visipige nyimbo za wasanii wengine na leo mnadai ananunua viewers na followers..
Hivi inaingia akilini kweli? Kwa madai yenu ni sawa na kusema jamaa ana pesa nyingi sana ya kugawa na kuhonga na mziki haumlipi ila yeye ndiye anaulipa.
Acheni uzushi jamani.
Maneno yako ni majibu tosha.
 
Kwa akili ya kawaida wanasema tuzo anahonga, analipa watu kuja kwenye show, analipa watu kuja kwenda kumpokea, analipa watu ku request nyimbo zake, analipa vituo cha redio visipige nyimbo za wasanii wengine na leo mnadai ananunua viewers na followers..
Hivi inaingia akilini kweli? Kwa madai yenu ni sawa na kusema jamaa ana pesa nyingi sana ya kugawa na kuhonga na mziki haumlipi ila yeye ndiye anaulipa.
Acheni uzushi jamani.
Wanampromte kiaina..... basi km ni hvyo yy ndiye msanii mwenye hela ndefu bongo coz kuhonga mtv sio mchezo
 
sasa kama mnadhani huyu kijana ananunua followers/viewers kutazama video you tube, hao kina Taylor Swift na Katy Perry mtasemaje?...
 
Back
Top Bottom