Diamond kuperform BBA this sunday!..

MTI PESA

Member
Nov 19, 2011
39
8
wadau nimepita kwnye fb page ya BBA nkakuta Biggie ameannounce kwmba Diamond Platnumz ataperform ndani ya jumba la BBA ths sunday na kutaka watu wapost maswali watakayopenda aulizwe but most of the members seems not to know even who's Diamond n even where's he from kiasi mpk wengine wakafikia kumtusi Biggie na kumwambia ss anapoelekea atawaletea msanii anaitw Goldie na wengine kumtak hyo Diamond achague moja kati ya diamond or platnumz..
my take..DIAMOND amejipangaje kuhusu oral interview na biggie?
 
kwasababu jokate yupo chanel o, angemsaidia kuwa mkalimani! au amchukue x wake, mtoto wa sepetu!
 
Hahaha.....amwombe msamaham wema then aende nae!am sure she still want him!
 
wa bongo kwanini tunarudishana nyuma jamani?? kwni diamond kutokujua english ni ajabu!! english sio lugha ya taifa letu.kama kuna ulazima wa kuzungumza english atajifunza kidogo kidogo si aibu etii
tuthamini lugha yetu jamani
 
Wivu mbaya sana!dogo anakusanya pakee kwa kutumia kipaji chake hapa wachimba chumvi wanamuombea njaa!...hapa kuna watu milioni tu wanaisikia katika redio ila mnyamwezi kila show anakunja karibu m3,tangazo la voda kakunja karibia 50m bado hiyo show ya BBA rand mingi kibindoni!nyie mnawaza kiingereza badala ya kuwaza pakee atayokunja!...kiingereza hakinunui chakula,pamba,nyumba wala haking'oi mademu wakali!go platinumz!
 
big up za kutosha platnamz..you real run ths fkucn town!!...jana nilikuwa half london pande za Sinza nikaskia matusi yako sikuamini kabisa ndio yule nasib ulioletwa kitengo na Dula kitambo kile unapaka ma-pico meeengi kichwani.
Ila usijisahau bwa mdogo na kuwadiss waliokujenga...pia jijenge game ya bonga haina adabu,muulize Tid.
 
big up za kutosha platnamz..you real run ths fkucn town!!...jana nilikuwa half london pande za Sinza nikaskia matusi yako sikuamini kabisa ndio yule nasib ulioletwa kitengo na Dula kitambo kile unapaka ma-pico meeengi kichwani.
Ila usijisahau bwa mdogo na kuwadiss waliokujenga...pia jijenge game ya bonga haina adabu,muulize Tid.
Hhaaahhaaa!wewe kweli unamkumbuka naseeb!picco nyingi,mawave na lipshine!halafu alikuwa anarap sasa!sharo kitambo mtandale yule acha awakaze tu wababaikaji!..naye anahonga magari siku hizi kweli kama ipo haizuiliki!
 
Dogo Diamond kama unapita hapa nakutakia safari njema then usiogope kutumia Mkalimani. Kila mtu anahaki ya kuishi hata kama hajui kingereza. Hold up.

Ila pia acha kiburi penda mashabiki wako. Hela zisikuchanganye.
 
Bado sijaona kama kutojua kizungu itakuwa matatizo, kwani maorganiser hawalijui hilo, msipende kuiga ushamba wa kenya hata lugha wayooita lugha ya taifa hawaijui.
 
hapa yanaweza kutokea yale ya Kanumba.."am closed" akimaanisha amefunga ramadhani..let's wait n see

Mhh MTI PESA wacha tu marehemu apumzike kwa amani! nadhani watamtafutia mkalimani, coz tuition yenyewe kasoma ya mwenge kwa mwl PUFF DADDY!
 
Back
Top Bottom