Diamond is overrated - Jose Chameleone

Diamond wa kawaida sana..
watanzania hawakawii kusema diamond ni zaidi ya 2face idibia.. yaani kuna watu wanafikiri diamond ni mkali kuliko wasinii wote afrika..na ndio maana diamond alipokosa tuzo ya bet..walinuna wiki nzima
Mkuu watasema mpaka kina neyo, chris n.k tusubir utaona
 
Hivi unaposema Alikiba kamzidi diamond kimziki ua mnamaanisha kamzidi kwenye upande gani sasa...ebu naomba jibu....maana utasikia kamzidi kamzidi ukiuliza kamzidi nini hakuna jibu

Hao walioanza mziki zamani mbona wameshindwa kufika alipofika diamond...?

Basi ngoja niulize swali jepesi tu nje ya mada ..kati ya Alikiba na Benpol nani kamzidi mwenzie..?
Unataka nijibu swali jepesi la nje ya mada au maswali unayoona yapo ndani ya mada?

Pia, una hakika hilo swali unalosema la nje ya mada lipo nje ya mada?
 
Hujelewa nilichomaanisha,sijasema kukaza sauti!Ninazungumzia ni kukaza kwenye game,hajitumi ipasavyo!Yaani hatumii uwezo wake at its full capacity!Ni kama mashine inaweza kutoa umeme MW 100,halafu wewe kila siku unaioperate kwenye MW 50!
Mwenzake Diamond anajituma halafu ni visionary!Hio ndio tofauti yao kubwa
Ahaa, kumbe hivyo.

Nakubaliana nawe kabisa.

Ali Kiba tatizo lake ndilo hilo. Nishawahi kusema hapa.

Na mimi siwezi kusem kwamba mtu ambaye muziki anaujua lakini tatizo hajui/hawezi/hataki kujipromote, siwezi kusema mtu huyu haujui muziki zaidi ya mtu ambaye kimuziki anamzidi, ila anazidiwa kwenye mambo ya promotion na ku hustle.

Ali Kiba mtoto wa Kigoma, ana uMwinyi Mwinyi fulani wa Kigoma wa kutegemea kudra na kipaji chake. Mambo ya "Inshallah, if it was meant to be, it will be". Kuna kipindi kirefu anaweza kujificha tu anafanya mambo yake.Husikii wimbo mpya wala collabo.

Diamond mtoto wa Tandale, kila siku kwenye magazeti, kujichanganya etc.

Kufikiri kwamba kumzidi mtu promo ni kumzidi muziki ni sawa na kusema bidhaa fulani ni nzuri zaidi ya nyingine kwa sababu inatangazwa sana.
 
Hivi MTU kuitwa bora ni kipi kipimo cha ubora?
Yule wa Sony unamlinganisha na Diamond ni dhambi kabisa
Nijuavyo mm utasema flani ni bora kwa sababu.
Ana mauzo ya muziki kuliko mshindani wake
Anashoo kubwa kubwa kuliko kuliko mwenzake
Analipwa kwenye shoo vizuri kuliko mwenzake
Anamkwanja mrefu kuliko mwenzake. Na mkwanja wenyewe uwe umetikana na kazi za muziki sio pesa za baba uje uringenazo
Hayo yote. Diamond yupo juu kwa Yule wa Sony sasa mtasemaje yupo ju ya diamond

Ushauri naona aliearoga ajafa rudini kwa mganga akawarudishieni akili
Ili mtambue diamond ni bora zaidi
 
Unataka nijibu swali jepesi la nje ya mada au maswali unayoona yapo ndani ya mada?

Pia, una hakika hilo swali unalosema la nje ya mada lipo nje ya mada?
Jibu utakachoona sahihi sio swali juu ya swali
 
Ata kama anajipromote....hakuna mtu anaejipromote na kitu kibaya hakitauzika tu..wangapi walipata sana suport kabla ya kuja mond lakini hawakufika alipofika mond pamoja na kusema kua wanaujua mziki
 
Ahaa, kumbe hivyo.

Nakubaliana nawe kabisa.

Ali Kiba tatizo lake ndilo hilo. Nishawahi kusema hapa.

Na mimi siwezi kusem kwamba mtu ambaye muziki anaujua lakini tatizo hajui/hawezi/hataki kujipromote, siwezi kusema mtu huyu haujui muziki zaidi ya mtu ambaye kimuziki anamzidi, ila anazidiwa kwenye mambo ya promotion na ku hustle.

Ali Kiba mtoto wa Kigoma, ana uMwinyi Mwinyi fulani wa Kigoma wa kutegemea kudra na kipaji chake. Mambo ya "Inshallah, if it was meant to be, it will be". Kuna kipindi kirefu anaweza kujificha tu anafanya mambo yake.Husikii wimbo mpya wala collabo.

Diamond mtoto wa Tandale, kila siku kwenye magazeti, kujichanganya etc.

Kufikiri kwamba kumzidi mtu promo ni kumzidi muziki ni sawa na kusema bidhaa fulani ni nzuri zaidi ya nyingine kwa sababu inatangazwa sana.
All we care about is results!Wewe unaweza ukawa na akili sana,ukawa unatumia muda mchache sana kusoma lakini unapasua!Kuna mwingine anaelewa uwezo wake ni wa wastani!Hivyo akawa anasoma sana na anafaulu!Ikaja paper,huyu anayekesha akapasua kuliko wewe unayesoma kidogo japo wote mmefauli!Kila mtu atamsifia yule aliyesoma sana na kufaulu kuliko mwenzake!
Ni sawa na Diamond,anatambua lazima akaze ili afaulu!Huwa anasema hadharani kabisa,"ningekuwa na sauti kama ya Ali kiba ningekuwa mbali sana"!Yaani anaelewa uwezo wa Kiba ni mkubwa ila hajui kuutumia!Hayo Diamond kayaona!
Sisi mashabiki all that matters is result!Kiba Mwenyewe kwa Bella hagusi hata kwa mbali!
 
tusome vizuri jamani na kuelewa,hapo chameleone anavutia kwake na kwao huko huko uganda na siyo sehemu nyingine.
 
Diamond mtoto wa Tandale, kila siku kwenye magazeti, kujichanganya etc.

Kufikiri kwamba kumzidi mtu promo ni kumzidi muziki ni sawa na kusema bidhaa fulani ni nzuri zaidi ya nyingine kwa sababu inatangazwa sana.

We jamaa nimesoma comments zako hapa unaonekana una chuki binafsi tu na huyu Diamond. Kwenye mpira watu ndio wanazidiana, maana mwenye magoli mengi ndio mshindi, lakini kwenye muziki ni tofauti sana, sijui kigezo gani utatumia kupima wanamuziki kama Adele na Rihanna, kwasababu watu tuna masikio tofauti na tunasikiliza muziki kutoka na mood. Huwezi kulazimisha mwanamuziki unaempenda wewe ndio kamzidi mwingine, unakosea sana.
 
Hivi kua na sauti ndio inakufanya uwe bora? Ujinga wa PhD? Kabisa
Ubora wa MTU nikutokana na ulivyofaulu Latina kazi zako tu
 
Mmh huyo Chameleon kapiga juzi
Kwenye mji wetu Kibar mshenzi hata watu hawakujaa
Hii ni publication
Simba ni simbaaa
 
Hakuna kama mond kwa Afrika mashariki,nyimbo yake ya mbagala ilichaguliwa kugombea tuzo mtv,2012 yaan akiwa na miaka mitatu tangu aanze mziki alifanya shoo kubwa kabisa pale mlimani city kiingilio cha shoo hiyo hakuna msanii yoyote wa Tanzania aliyewah kutoza .Diamond ndo msanii anayeongoza kwa kulinganishwa na wasanii wengi mfano alivyoanza mziki na kushinda tuzo tatu za ktma watu walimbeza kuwa hana uwezo wa kumshinda bele9,baada ya hapo akaambiwa hana uwezo zaid ya barnaba,mara bob junior ikaja kwa macoko na sasa kwa ali kiba.kuna kipind alishindanishwa na kamilioni na prezoo.HAKIKA DIAMOND ANA STORI YA KUSHANGAZA TANGU KUTOKA KWAKE KMZK
 
Apa sasa tuamgalie na uzalendo, usnitchi snitchi wa kujifanya tunashabikia vya watu tuangalie je wenyewe wanatupa support iyo iyo kama sisi tunayojipendekezea, tuungane kwa pamoja kama watanzania kumsupport mtanzania mwenzetu.. yule chameleone ni wa uganda
 
2012 alitangaza kuwa kwa kila shoo analipwa milioni 10(kumbuka ni miaka mitatu tu tangu aanze mziki)wakati hadi leo mwaka 2016 kuna wasanii wakongwe kabsa wanalipwa milion moja kwa shoo.Diamond ndio msanii anayeongoza kwa kupigwa mawe katika maendeleo yake kwani alishaambiwa anawaroga wasanii wenzie,pia alishatokeaga mganga akisema ndiye aliyemtoa diamond.huyuhuyu diamond alishaambiwa ni freemason.nyimbo za diamond ndo nyimbo znazopendwa na watu wote kwahiyo wanaosema anabebwa na promo n waongo kwani kuna watu hawatumii kabsa mitandao ya kijamii na wala hawaangalii tv mda mwing na pia hawasikilizi redio lakn wanazijua nymbo za diamond mfano wato
 
Kuna artist wengi Uganda wako vizuri kama Eddy Kenzo huyu jamaa ni popular sana west and central africa . Jamaa anajaza stadium akienda Ivory coast, Cameroon, Mali, Benin etc.
 
Nafikiri muda wake umeisha sasa....!!!
Ni kweli Kiongozi,Enzi za Jose chameleon zimepita.Manake alitamba pamoja na akina Mr Nice, enzi zao Afrika mashariki yote ilikuwa yao.Mwenzao Diamond amekwenda next level zaidi kwa kuishika Afrika nzima.
 
Kujaza stadiums hata Diamond anaweza kujaza Kenya na Uganda...
Chamilion namuona mkali kuliko Diamond lakini si kwa kigezo cha kujaza stadiums....
Hata Mr Nice alijaza stadiums East Africa.....je alikuwa mkali kuliko wote?
Sahihi kabisa. Kwa namna yoyote Chameleon yuko mbali sana kulinganisha na Diamond..... Lakini hii ya kujaza uwanja sidhani kama ni kipimo sahihi.
 
Ni kweli Kiongozi,Enzi za Jose chameleon zimepita.Manake alitamba pamoja na akina Mr Nice, enzi zao Afrika mashariki yote ilikuwa yao.Mwenzao Diamond amekwenda next level zaidi kwa kuishika Afrika nzima.
Huyu dogo anatisha east atrika yote hskuna wa kumkamata hapo alipo
 
Back
Top Bottom