Dhuluma kwa wafugaji wa Benaco Ngara: Mkuu wa Wilaya Biharamulo ahusika

Rwamarungu

Member
Apr 2, 2012
16
3
Dhulluma kwa wafugaji wa Kagera;
Naona kuna magari mengi na watu wengi hapa Benaco Ngara akiwemo mkuu wa wilaya Biharamulo. Naambiwa kuna mnada wa kuuza ng'ombe wa familia moja ya akina Kabwebwe.

Ng'ombe walikamatwa kwenye pori la akiba mwezi wa 5, 2014 kule Ngara sasa wenyeji wanasema jamaa wa maliasili kwa kushirikiana na mahakama zetu kama kawaida baada ya kuwaiba na kuwa wamebaki wachache wameamua kuuza waliobaki ili kupoteza ushahidi wakati wa madai. Nilikuwa napita tu kwenye research ya misitu ila hii kitu ninayoiona ni dhuluma ya hali ya juu.

Ng'ombe waliokamatwa walikuwa over 800 waliobaki wako below 200 na ndo wanauzwa na mkuu wa wilaya wa Biharamulo kaja na team ya kuwanunua.

Ni jambo la kusikitisha sana. Hivi hii serikali ya CCM ndo imeamua kuwanyanyasa watu hawa wanyonge wa vijijini?
 
Ni kweli kuna rafiki yangu kaitwa kwenda kununua ng'ombe kwa bei rahisi.
Anasema kaambiwa bei ya mmoja ni chini ya 50,000(elfu hamsini!).

Jamani hii inatisha.
 
Hapo imekaaje, mkuu wa wilaya ya Biharamulo aje asimamie uuzwaji wa Ng'ombe waliokamatiwa Ngara wkt mkuu wa wilaya ya Ngara yupo
 
Back
Top Bottom