Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,340
Screenshot_2024-03-17-18-06-38-1.png

Wazungu wasingeweza kuleta Chakula Tanzania ikiwa nchi hii inajitosheleza kwa Chakula , wanayo macho na wanaona hali halisi ya Wananchi

FB_IMG_1575390792397.jpg
FB_IMG_1575390806699.jpg

Viongozi acheni uongo wa kijinga , okoeni maisha ya wananchi wenu ambao ni wazi mnajua wana dhiki utadhani nchi iko vitani , mnataka kuficha kitu gani na ni kwa manufaa ya nani ?

Kwa mfano , Wilayani Temeke familia nyingi zinaishi kwa mlo mmoja tu tena wa ugali mkavu , Keko , Tandika , yombo , Buza , Mbagala na maeneo kibao dhiki imetamalaki , ni lini serikali ya Tanzania ilipeleka msaada wa msosi maeneo haya ? mnadhani vijana wanaosoma wana hali gani ?

Eti ushoga ! ni nani aliwaambia ushoga unaletwa na chakula ? kwa taarifa yenu chanzo kikuu cha ushoga , mimba za utotoni , maambukizi ya Ukimwi huletwa na dhiki duni ya kujikimu ikiwemo dhiki ya msosi , Tafiti kibao zimefanyika , kwanini mnaficha ? hebu kueni na huruma pokeeni chakula ili kuokoa raia wenu ambao wengi wamezeeka kutokana na dhiki .

Tunafahamu kwamba nyie mnashiba na Mara zote aliyeshiba hamjui mwenye njaa .

MUNGU WABARIKI WAZUNGU
 
Kuna watu hua napita njia nikielekea ghetto nikiwa natoka masjed nawaona wako nje wanafuturu wali maharage familia nzima wamezunguka wanafuturu wali maharage daaah roho inaniuma sana ndio hivyo tu na mm bado mambo yangu hayaeleweki

Waafrika kuna possibility ya kuishi hivi hivi mpaka kiama yaani sijui tuna shida gani jamani hasa kwenye kujiongoza vizuri angalau tukahakikisha tunapunguza lindi la umaskini
Watanzania wengi ni maskini hasa wanaopata milo mizuri ni kiwango kidogo sana

Wamarekani tunaomba msituletee tu wali tuleteeni basi hata na viongozi kadhaa watuongoze jamani sisi tumeshindwa kabisa
 
Kuna watu hua napita njia nikielekea ghetto nikiwa natoka masjed nawaona wako nje wanafuturu wali maharage familia nzima wamezunguka wanafuturu wali maharage daaah roho inaniuma sana ndio hivyo tu na mm bado mambo yangu hayaeleweki

Waafrika kuna possibility ya kuishi hivi hivi mpaka kiama yaani sijui tuna shida gani jamani hasa kwenye kujiongoza vizuri angalau tukahakikisha tunapunguza lindi la umaskini
Watanzania wengi ni maskini hasa wanaopata milo mizuri ni kiwango kidogo sana
Ni ngumu sana , kwa miaka 8 wafanyakazi wameongezwa mshahara tsh elfu 8 tu , unategemea nini ?
 
Alafu watu washenzi Sana, eti hii nchi inamchele wa kutosha wakati zipo shule nyingi tu ndani ya hii nchi wanafunzi hawapati hata uji shuleni. Sawa mahindi na Michele upo wa kutosha sasa mbona wanafunzi hawapati chakula shuleni?
Nadhani Bashe anataka kuanzisha biashara ya mchele mashuleni
 
Tanzania hatuna dhiki kuwashinda Sudan na Somalia.Zambia juzi kati wametangaza baa la njaa,iweje sisi watanzania ndio tupewe kipaumbele wakati hatuna njaa kihivyo?Umiza kichwa kufikiri siyo unafikiri kutumia kwa kutumia makalio.
Watu wanalala njaa wewe unasema hakuna njaa , Ni hivi nyie mnaficha lakini wengine wanaweka wazi , sijui kama unaelewa
 
Tanzania hatuna dhiki kuwashinda Sudan na Somalia.Zambia juzi kati wametangaza baa la njaa,iweje sisi watanzania ndio tupewe kipaumbele wakati hatuna njaa kihivyo?Umiza kichwa kufikiri siyo unafikiri kutumia kwa kutumia makalio.
Msipende kutukana maana hamkawii kuonyesha ujuha wenu. Hao wamarekani wanaanzaje kupeleka chakula Sudan, Somalia na hata Haiti? Kwa ujuha wako unadhani hivyo vimchele walivyotuletea ndio umemaliza kabisa akiba yao ya mchele kiasi kuwa hawawezi kusaidia nchi nyingine?

Hawa watu wanawajengea mpaka matundu ya vyoo mashuleni mwenu, unadhani wakiwa wanafanya hivyo hawaoni dhiki ya wanafunzi wanaosoma shule hizo?

Ovyo kabisa.

Amandla...
 
Sio matundu ya choo tu Hadi fedha inatolewa kuwafundisha watu namna ya kunawa mikono ili kujikinga na magonjwa ya kuhara na kutapika.
 
Msipende kutukana maana hamkawii kuonyesha ujuha wenu. Hao wamarekani wanaanzaje kupeleka chakula Sudan, Somalia na hata Haiti? Kwa ujuha wako unadhani hivyo vimchele walivyotuletea ndio umemaliza kabisa akiba yao ya mchele kiasi kuwa hawawezi kusaidia nchi nyingine?

Hawa watu wanawajengea mpaka matundu ya vyoo mashuleni mwenu, unadhani wakiwa wanafanya hivyo hawaoni dhiki ya wanafunzi wanaosoma shule hizo?

Ovyo kabisa.

Amandla...
Nani katukana?Makalio siyo tusi wewe bwege mtozeni,au wewe unatumia Goti kufikiri?Kuna watu wana njaa kushinda bongo.
 
Back
Top Bottom