Desktop yenye core 2 duo na nvidia inauzwa

hemedans

Member
May 18, 2011
68
64
Nauza desktop yangu ya HP compaq shilingi 250,000 ina specs hizi

-processor ni core 2 duo e8400 3.0ghz
-ram yake ni 2gb
-hdd ni 160gb
-ina gpu ya nvidia gt 210
-port 4 za display HDMI, VGA mbili na Display port
-port kama 10 za usb
-mlango wa dvd
-ina monitor nzuri ya HP yenye resolution ya 1280x1024 (zaidi ya HD)
svxHLVh.jpg


Sasa hivi ina windows 7 ila kama unataka kuinunua naweza kukuekea windows unayotaka, pia kama una software fulani unataka naweza kukuekea,

Muhimu
Hio gpu sio ya games, unaweza chezea games lakini game ndogo kama vile fifa na pes, ila games kubwa kama gta v haitaweza cheza,

Pia gpu niliinunua na chuma kikubwa na desktop ni ndogo hivyo ikabidi nikitoe chuma cha gpu, papo wazi kwenye gpu kama picha itakavyoonesha hapo chini.
YlzAtt8.jpg


Bei
250,000 kwa vyote vitatu yaani desktop yenyewe, monitor na gpu, kama unataka kimoja kimoja pia tunaweza ongea.

Mawasiliano
-+255715696962 au njoo pm

Picha zinakuja
 
Desktop na gpu imenunuliwa imebaki monitor, ambaye hana flat screen aje tuongee 50,000 tu naiuza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom