Dereva wa lori aibiwa shilingi milioni 3 na mwanamke aliyempa lifti

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
1472197070310.jpg
Dereva wa lori moja la kusafirisha mizigo kutoka Nairobi na Tanboi wake wamejipata taabani baada ya kumpa mwanamke lifti ama msaada wa usafiri.

Dereva huyo kwa jina Leornard Kipsang waliibiwa shilingi milioni 3 baada ya kutiliwa dawa ya kupoteza fahamu bila kujua na mwanamke huyo.

Polisi hadi sasa wanatafuta mwanamke huyo anayeaminika kushirikiana na majambazi wengine kwenye uharifu huo.
 
Hope hizo ni K.Shs; equivalent to 3,000,000 x 22 = T.Shs. 66,000,000. Huyo dereva na kundi lake ni wapumbavu. Kwanini ubebe kiroba cha 66/- m. ndani ya lori? Binafsi hata laki 5 Tshs sibebi cash. Dunia inaelekea e-payments halafu wao wanatuletea zama za kale!
 
Nini laki tano? Mie sibebi zaidi ya laki mbili za Kitanzani naposafiri. Najua kuna mpesa kila mji
 
Hope hizo ni K.Shs; equivalent to 3,000,000 x 22 = T.Shs. 66,000,000. Huyo dereva na kundi lake ni wapumbavu. Kwanini ubebe kiroba cha 66/- m. ndani ya lori? Binafsi hata laki 5 Tshs sibebi cash. Dunia inaelekea e-payments halafu wao wanatuletea zama za kale!
Mpuuzi sana anarudisha enzi za TANU +KANU
 
Msimlaumu sana huyu dereva. Kuna mazingira ambayo ni lazima uwe na Cash.
 
Hope hizo ni K.Shs; equivalent to 3,000,000 x 22 = T.Shs. 66,000,000. Huyo dereva na kundi lake ni wapumbavu. Kwanini ubebe kiroba cha 66/- m. ndani ya lori? Binafsi hata laki 5 Tshs sibebi cash. Dunia inaelekea e-payments halafu wao wanatuletea zama za kale!

Note. 1KSh ~19 Tzs sio 22 Tzs
 
Kwahiyo alipowapa hiyo dawa gari ilikuwa inatembea au ilikuwa imesimama.
Hili ni swali la msingi kabisa maana kama ilikua inatembea ingeanguka na kama ilisimama ilikuaje .
Wakati wanapewa dawa walikuwa wamelala na kunsinzia ama ilikua kuaje? Sijaelewa vizuri hapo.
 
Hili ni swali la msingi kabisa maana kama ilikua inatembea ingeanguka na kama ilisimama ilijuaje.
Wakati wanapewa dawa walikuwa wamelala na kunsinzia ama ilikua kuaje? Sijaelewa vizuri hapo.
Walikuwa wanakula mzigo. angekuwa mwanaume asingepewa lift... stuka binamu...
 
Lifti siku hizi hazitolewi hovyo hovyo kwa mtu usiyemjua!!
Hapa hazungumziwi mtu tu, bali mtu wa jinsia ya kike. Hakuna ugonjwa mbaya unaowasumbua madereva wa malori kama Kei. Wanazipenda Kei kuliko wenye kei zao wanavozipenda.
 
Haiwezekani mkuu.. yaani mtu apende kiungo cha mwenzake kuliko chake..!?
 
Back
Top Bottom