barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,361
- 29,690
Mchambuzi wa media hip jaman mbona mm simjui na mm nimiongon mwa wadau wa michezo
Azam Tv.
Mchambuzi wa media hip jaman mbona mm simjui na mm nimiongon mwa wadau wa michezo
Hapa umenena aisee ila wakati mwingine kibongobongo wanasaidia si unajua simulizi ni kipajiwe naye unafurahisha unadhani mpira wa kuchambua umekaa studio ndio wa uwanjani, alikuwa kocha wa Timu ya Ndanda, ikawa ktk hali mbaya wakamtimua, na alikuwa anaamini sana nguvu za giza, siku wanakwenda kucheza na mtibw huko manungu, aliwatembeza wachezaji wake karibu km. 8, polini eti kukwepa misumali (ndumba) ya mtibwa, barabarani!! wakafika uwanjani too late hata muda wa kula hamna wakaingia uwanjani wakachezea 4!!!Usiwaone wachambuzi wa mpira wamo studio wanajifanya wanajua, hasa hawa wa clouds fm!! timu yao wenyewe ni shida, na ukitaka kujua uwezo wao, wasikilize pre match analysis zao, hata haiji kuendana hata kidogo na match, wao ni wa taalam wa baada ya mechi tu!! sasa hiyl hata mtu aliyetoka sigimbi leo atashindwa?? makosa yote yameshaonekana, Ukitaka kuona watu wenye fani zao angalia super sports, au skysports, sio hawa waganga njaa tu. We kila mtu amekuwa football analyst!!! bora hata mbwiga ye ame specialise kwenye ndondo, na anaweza.
Mkuu ebu tuambie tatizo la Ally Mayai.
Kuwa simba kuna tatizo gani mkuu?!
Huyu jamaa naona ndie mchambuzi bora kuliko wote wa mpira TZ
anaujua mpira
hana sifa na mbwembwe za kijinga
nimesikia pia ni kocha sijui anafundisha wapi na ana historia ipi
ya mpira but so far hakuna anaeweza kubisha uwezo wake wa kuchambua mpira
kwa hiyo kazi yake ilikuwa ni kuipandisha ndanda ligi kuu tu basi?!!! wala sio chuki binafsi kwenye ukweli lazima tuseme, inawezekana anajua mpira wa bongo akiwa studio na si kwenye field, tunachoongelea hapa ni hicho, kwani wakiwa studio hadi wanamkosoa mourino, wenger, ancelot na wote unaowajua wewe, makocha wakubwa duniani!! eti pale alikosea angetumia formation hiii!!! kweli jamani?? hao wengine kina shafi, kitenge hatujawahi kuwaona ki coach lakini ni wale wale tu, Huyu wa ndanda ukiona anavyo iponda timu ya ndanda huwezi amini kama ndiye aliyefanya usajili huo!! huu si unafiki.Majungu pembeni, Kitambi anajua mpira wa bongo kuliko wachambuzi wengi wa bongo, na usisahau ndio kaipandisha Ndanda. Mambo ya imani ya nguvu za giza ni uongozi ni suala la uongozi.
kwa hiyo kazi yake ilikuwa ni kuipandisha ndanda ligi kuu tu basi?!!! wala sio chuki binafsi kwenye ukweli lazima tuseme, inawezekana anajua mpira wa bongo akiwa studio na si kwenye field, tunachoongelea hapa ni hicho, kwani wakiwa studio hadi wanamkosoa mourino, wenger, ancelot na wote unaowajua wewe, makocha wakubwa duniani!! eti pale alikosea angetumia formation hiii!!! kweli jamani?? hao wengine kina shafi, kitenge hatujawahi kuwaona ki coach lakini ni wale wale tu, Huyu wa ndanda ukiona anavyo iponda timu ya ndanda huwezi amini kama ndiye aliyefanya usajili huo!! huu si unafiki.

Usipotembeleatembelea nyumba za watu wengine Ni rahisi kusema Mama/mke wangu ndie mpishi bora dunia mzima! Hajawahi kutokea! Tafakari
kwa hiyo kazi yake ilikuwa ni kuipandisha ndanda ligi kuu tu basi?!!! wala sio chuki binafsi kwenye ukweli lazima tuseme, inawezekana anajua mpira wa bongo akiwa studio na si kwenye field, tunachoongelea hapa ni hicho, kwani wakiwa studio hadi wanamkosoa mourino, wenger, ancelot na wote unaowajua wewe, makocha wakubwa duniani!! eti pale alikosea angetumia formation hiii!!! kweli jamani?? hao wengine kina shafi, kitenge hatujawahi kuwaona ki coach lakini ni wale wale tu, Huyu wa ndanda ukiona anavyo iponda timu ya ndanda huwezi amini kama ndiye aliyefanya usajili huo!! huu si unafiki.
Nimezungumzia wachambuzi wa TZ...
nafikiri hujaelewa hilo
Wachambuzi wa Tz na hasa wa soka la bongo, tumewaona wangapi TBC, star Tv, Azam, Itv wapo wa kumwaga!
Unataka atembee tembee wapi???
Wataje ambao wewe unawaona ni bora
Hapana; Who am I to burst your bubble?!