Denis Msacky katoe sadaka ya shukrani kanisani

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
Kutokana na kujichanganya kwingi kwa bwana Mwigulu Nchemba kuhusu ni lini aliiripoti video ya Lwakatare na siku iliporekodiwa ukichunguza kwa makini utagundua Denis Msacky alikuwa awe chambo ili video ikitoka waunganishe ili kuiua CHADEMA lakini kwa vile mungu halali akawapiga na upofu vijana wa kazi badala ya kwenda kwa Denis wakaenda kwa Kibanda.

Video ilirekodiwa tarehe 28,29 Mwigulu akadai kupelekewa na kiongozi wa CHADEMA aliyechukizwa naomba wana JF muunganishe hiyo statement kurekodi leo asubuhi kiongozi wa CHADEMA aipate leoleo na kuchukizwa jioni aikimbize kwa Mwigulu na kesho saa moja na nusu Mwigulu awe nayo studio.

Ukiunganisha dots na jinsi Ludo alivyotekwa nae usiku uleule na kuvuliwa nguo na baadae kutumiwa 50000 tu utagundua kuwa alipewa adhabu baada ya kupoteza target na mchezo kuharibika.

Hapa nampa ndugu Denis Msacky ushauri wa bure kama mpaka leo hajaenda kanisani kutoa sadaka shukrani afanye hivyo haraka sana.

Nawasilisha.
 
Kutokana na kujichanganya kwingi kwa bwana mwigulu nchemba kuhusu ni lini aliiripoti video ya lwakatare na siku iliporekodiwa ukichunguza kwa makini utagundua denis msacky alikuwa awe chambo ili video ikitoka waunganishe ili kuiua chadema lakini kwa vile mungu halali akawapiga na upofu vijana wa kazi badala ya kwenda kwa denis wakaenda kwa kibanda.
Video ilirekodiwa tarehe 28,29 mwigulu akadai kupelekewa na kiongozi wa chadema aliyechukizwa naomba wana jf muunganishe hiyo startment kurekodi leo asubuhi kiongozi wa chadema aipate leoleo na kuchukizwa jioni aikimbize kwa mwigulu na kesho saa moja na nusu mwigulu awe nayo studio.

Ukiunganisha dots na jinsi ludo alivyotekwa nae usiku uleule na kuvuliwa nguo na baadae kutumiwa 50000 tu utagundua kuwa alipewa adhabu baada ya kupoteza target na mchezo kuharibika.
Hapa nampa ndugu denis msacky ushauri wa bure kama mpaka leo hajaenda kanisani kutoa sadaka shukrani afanye hivyo haraka sana.
Nawasilisha.
Nyie jikanyageni sana tu, mahakama itakapotoa maamuzi dhidi ya LWAKATARE ndipo mtakapojua kuwa kuna wanasiasa na magaidi
 
Uko sahihi,msacky ndo ilikuwa target ili movie ya lwaks ibambe...mungu ni mkubwa

thibitisha usemayo vinginevyo jiandae kujibu siku ya mwisho mungu atakapokuwa anaadhimu watu wake siku ya mwisho kwa uongo huu.
 
Kutokana na kujichanganya kwingi kwa bwana mwigulu nchemba kuhusu ni lini aliiripoti video ya lwakatare na siku iliporekodiwa ukichunguza kwa makini utagundua denis msacky alikuwa awe chambo ili video ikitoka waunganishe ili kuiua chadema lakini kwa vile mungu halali akawapiga na upofu vijana wa kazi badala ya kwenda kwa denis wakaenda kwa kibanda.
Video ilirekodiwa tarehe 28,29 mwigulu akadai kupelekewa na kiongozi wa chadema aliyechukizwa naomba wana jf muunganishe hiyo startment kurekodi leo asubuhi kiongozi wa chadema aipate leoleo na kuchukizwa jioni aikimbize kwa mwigulu na kesho saa moja na nusu mwigulu awe nayo studio.

Ukiunganisha dots na jinsi ludo alivyotekwa nae usiku uleule na kuvuliwa nguo na baadae kutumiwa 50000 tu utagundua kuwa alipewa adhabu baada ya kupoteza target na mchezo kuharibika.
Hapa nampa ndugu denis msacky ushauri wa bure kama mpaka leo hajaenda kanisani kutoa sadaka shukrani afanye hivyo haraka sana.
Nawasilisha.

Hauko sahihi mkuu, Msacky alikuwa part of the deal, ndio maana alimpigia simu Lwakatare kumuuliza kama ameisharudi Dar ili kijana Ludo aende kurekodi Movie..

Huyu Msacky ametumika deliberately na huenda alikuwa anaujua mpango mzima wa kumtesa Kibanda. Pia angalia gazeti la Mwananchi lilivyobadili sera toka ameondoka yule CEO Mkenya na kuja Tido huku Msacky akiongoza mashambulizi dhidi ya CHADEMA. Lazima yuko kwenye Payroll ya Salva Rweyemamu
 
Hauko sahihi mkuu,
Msacky alikuwa part of the deal, ndio maana alimpigia simu Lwakatare
kumuuliza kama ameisharudi Dar ili kijana Ludo aende kurekodi Movie..

Huyu Msacky ametumika deliberately na huenda alikuwa anaujua mpango
mzima wa kumtesa Kibanda. Pia angalia gazeti la Mwananchi lilivyobadili
sera toka ameondoka yule CEO Mkenya na kuja Tido huku Msacky akiongoza
mashambulizi dhidi ya CHADEMA. Lazima yuko kwenye Payroll ya Salva
Rweyemamu

wangemteka msacky ingependeza make naye yumo kwenye kutengeneza hii move wangemnyofoa hata makende yake ningefurahi kweli!
 
Naona ndugu mnajitahidi ku-spin mambo, guilty conscience inawatafuna! Issue ni kuwa Rwakatare kayasema yale maneno au la?
 
Nyie jikanyageni sana tu, mahakama itakapotoa maamuzi dhidi ya LWAKATARE ndipo mtakapojua kuwa kuna wanasiasa na magaidi

Wewe ni gamba/fisadi/masalia ndio maana unatetea umafia ila muda wetu wa kuwahadaa watanzania uko ukingoni.
 
Naona ndugu mnajitahidi ku-spin mambo, guilty conscience inawatafuna! Issue ni kuwa Rwakatare kayasema yale maneno au la?

Hili swali hata mimi sijabahatika kuwahi kusikia jawabu lake,, unasikia watu wazunguka zunguka tuu!!
 
Huyu Msacky nae ni accomplice anatakiwa aswekwe ndani pia akatoe sadaka yanini mapema yote hii,subirini tu we are in for alot of surprises in this issue.......
 
wangemteka msacky ingependeza make naye yumo kwenye kutengeneza hii move wangemnyofoa hata makende yake ningefurahi kweli!
mkuu libolo,sorry chibolo,hv hili neno la makende bado linatumika? la zamani kweli kweli,enzi zile za balehe yetu sheikh! mi najua korodani tu!
 
mi nadhani tuvute subira mbichi na mbivu vitajitenga hapo mahakama itakapo amua
 
Watu mnashindwa kuelewa hawa Waandishi wa Habari wana mchezo gani?
Ni kwa nini Mwampamba na Shonza walikwenda Mtanzania baada ya Kibanda kuondoka na kuruhusiwa kubwabwaja
Lazima tujiulize sio kuangalia Ugomvi wa CCM na CDM wakati kuna vyama zaidi ya 20 na Magazeti kibao kila njaa na shibe yake. Mtailaumu CCM wakati Msacky na Zitto wapo pamoja, au Msacky na Kibanda wapo pamoja
 
Back
Top Bottom