Deni la taifa lina thamani gani kwa wanaotudai? Ni kina nani?

1st.Tanzanian

Member
Jun 28, 2012
7
2
JE UNAJUA CHANZO CHA VITA DUNIANI NI NINI

It is not a coincidence that these country, which are listed below were and are still being under attack by the western media, since one of the main reasons these countries have been under attack in the first place is because they do not have a Rothschild owned Central Bank yet. The first step in having a Central Bank establish in a country is to get them to accept an outrageous loans, which puts the country in debt of the Central Bank and under the control of the Rothschilds. If the country does not accept the loan, the leader of this particular country will be assassinated and a Rothschild aligned leader will be put into the position, and if the assassination does not work, the country will be invaded and have a Central Bank established with force all under the name of terrorism.

Rothschild owned Central Bank:

Central banks are illegally created private banks that are owned by the Rothschild banking family. The family has been around for more than 230 years and has slithered its way into each country on this planet, threatened every world leader and their governments and cabinets with physical and economic death and destruction, and then emplaced their own people in these central banks to control and manage each country’s pocketbook. Worse, the Rothschilds also control the machinations of each government at the macro level, not concerning themselves with the daily vicissitudes of our individual personal lives. Except when we get too far out of line.

The Rothschild family is slowly but surely having their Central banks established in every country of this world, giving them incredible amount of wealth and power.

In the year of 2000 there were seven countries without a Rothschild owned Central Bank:

Afghanistan
Iraq
Sudan
Libya
Cuba
North Korea
Iran
The only countries left in 2003 without a Central Bank owned by the Rothschild Family were:

Sudan
Libya
Cuba
North Korea
Iran

The Attacks of September 11th were an inside job to invade Afghanistan and Iraq to then establish a Central Bank in those countries.

The only countries left in 2011 without a Central Bank owned by the Rothschild Family are:

Cuba
North Korea
Iran

After the instigated protests and riots in the Arab countries the Rothschild finally paved their way into establishing Central Banks, and getting rid of many leaders, which put them into more power.
 
Tumechoka.Tumechoka kusikia tu.Tumechoka kelele masikioni mwetu. Sasa tunataka kuona na kujua.Kuona wanaotudai na maelezo yao. Walitukopesha lini;kwa lengo gani kitaifa;deni lao wanalitaka lini;walisema tulipaje;na tusipowalipa watatufanya nini? Lazima tujue.

Tunasikia tu kuwa deni la Taifa ni trilioni 27. Na kuwa kila mtanzania anadaiwa si chini ya laki tano za kitanzania. Tunataka kujua sasa tulikopa kutoka kwa nani mahela yote hayo. Na pia, tulikopa kwa ajili ya kufanyia nini. Kwenye deni kuna mkopaji na mkopeshaji.Mkopaji tunamjua: Serikali ya Tanzania. Mkopeshaji ni nani? Ni muda wa kumjua.Tafadhali jitokeze.

Mnaotudai mtumbie Serikali yetu iliweka nini kama amana. Tuna haki ya kujua.Mkopo si moja ya siri za Taifa. Mnaotudai mkijitokeza mtatusaidia kujua vyema kuhusu jambo hili la deni la Taifa. Kuhusu kiasi halisi na kadhalika. Muda ni huu!

Mzee Tupatupa (safarini kwenda Mbeya kwenye sherehe za CCM)
 
mzee tupa,ile mikataba 29 aliyosaini ------ mbele ya rais wa uchina ulishawahi kuichungulia imeandikwa nini?
~~~hii nchi inaendeshwa kwa siri kubwa
 
kwa hiyo nadaiwa laki tano, plus mkopo wa chuo plus kodi wanayoikata kwenye mshahara= Deadly and gone.
 
Mkuu VUTA-NKUVUTE hivi awamu hii "inaposifiwa" kwa miundombinu ya barabara mnadhani hizo hela zimetoka mifukoni mwa viongozi? Ni madeni mazee na ni lazima tulipe; tupende, tusipende. Pengine hoja ni deni linalingana na thamani ya kilichofanyika?
 
Last edited by a moderator:
Kaka VUTA NKUVUTE una akili sana. Nimekuwa najiuliza sana suala hili la Deni la Taifa (Nadhani hapa CCM wanapo dili lao la Uchaguzi). Kama uwekezaji umepanda, Mapato ya ndani yakaongezeka, kodi zimekuwa ni nyingi na kubwa, najua kila anayelipa kodi hata kupitia mshahara wake anajua anavyolambwa fedha ndefu, achilia mbali misaada na support kutoka nje. Tumejitanabaisha kuwa CCM wameleta maendeleo hapa hili deni la taifa ni CCM watalilipa kutoka kw source zao au? kama zimejenga bara bara/ madaraja ao nini? tuelezwe, na makusanyo yameishia wapi? tumesikia kila siku tunaambiwa raisi anasafiri na mafanikio ya ziara zake ni misaada imekuwa mingi sasa misaada hiyo ni ipi na ni jinsi gani imesaidia kupunguza makali ya maisha kwa raia? tumesikia uchumi wetu umeimarika na mauzo ya nje yameongezeka sasa mapato yanaenda wapi? tujiulize sana, na natamani wachumi watumie jukwaa hili watoe uchambuzi wa kutosha ili kina SIMIYU YETU na RITZ watafakari jinsi serikali ya CCM inayokausha nchi yetu. Madini ya Dhahabu, Alimasi, Tanzanite, Utalii, Gesi, Uwindaji na uwekezaji, ni halali kuwa na madeni haya makubwa hivi? au ni Udhaifu wa Uongozi?Ufisadi na makusayo ya mapato kuelekea mifukoni mwa mavulture wa CCM na serikali yao?
 
NAUNGA MKONO HOJA!!!!!! Kwa kweli tumechokaa na tukicheka na nyani tutavuna mabua.. Magamba tusipowaondoa tumeliwa... tunaanza kuwaondoa kwenye uchaguzi wa mwaka huu...
 
Tumechoka.Tumechoka kusikia tu.Tumechoka kelele masikioni mwetu. Sasa tunataka kuona na kujua.Kuona wanaotudai na maelezo yao. Walitukopesha lini;kwa lengo gani kitaifa;deni lao wanalitaka lini;walisema tulipaje;na tusipowalipa watatufanya nini? Lazima tujue.

Tunasikia tu kuwa deni la Taifa ni trilioni 27. Na kuwa kila mtanzania anadaiwa si chini ya laki tano za kitanzania. Tunataka kujua sasa tulikopa kutoka kwa nani mahela yote hayo. Na pia, tulikopa kwa ajili ya kufanyia nini. Kwenye deni kuna mkopaji na mkopeshaji.Mkopaji tunamjua: Serikali ya Tanzania. Mkopeshaji ni nani? Ni muda wa kumjua.Tafadhali jitokeze.

Mnaotudai mtumbie Serikali yetu iliweka nini kama amana. Tuna haki ya kujua.Mkopo si moja ya siri za Taifa. Mnaotudai mkijitokeza mtatusaidia kujua vyema kuhusu jambo hili la deni la Taifa. Kuhusu kiasi halisi na kadhalika. Muda ni huu!

Mzee Tupatupa (safarini kwenda Mbeya kwenye sherehe za CCM)

kama wewe unalalamika na mwananchi wa kawaida afanyeje
 
Mkuu VUTA-NKUVUTE hivi awamu hii "inaposifiwa" kwa miundombinu ya barabara mnadhani hizo hela zimetoka mifukoni mwa viongozi? Ni madeni mazee na ni lazima tulipe; tupende, tusipende. Pengine hoja ni deni linalingana na thamani ya kilichofanyika?

na pesa wanazokusanya za kodi na kwenye dhahabu wanapeleka wapi?
ccm wanatuibia sana ila mwisho umefika
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom