deni la kila mtanzania ni Tsh 300,000.

gango

Member
Feb 24, 2010
32
6
Kama utachukua deni lote la Tanzania (trilion 11) ukigawa na idadi ya watu (milion 40) basi kwa makadilio KILA MTANZANIA ANADENI LA shilling 300,000. Hata mtoto aliye zaliwa leo.....CCM OYEEEEEEEE
 
Oyeeee! Ngoja nikalipe la kwangu japo kwa mafungu. Ila linapaa!
 
Kokotoa tena ni zaidi ya 300,000/= deni la taifa ni trilion 17.1 , ili tujiandae kulipa, maana nchi ilishauzwa
 
Tshs. 17,100,000,000,000,/- divide by 42,000,000 Tanzanians equals to Tshs. 407,142.86 per head!
 
duuu kaka ............ulikuwa mtaalamu sasa hesabu ......wenzio tunaogopa hesabu za kugawanya...............
Tshs. 17,100,000,000,000,/- divide by 42,000,000 Tanzanians equals to Tshs. 407,142.86 per head!
 
Haaaa!!! Ama kweli humu ndani ya Jf kuna vichwa vinavyochemka kwelikweli. Nashangaa kuna baadhi ya waTZ bado wanaisapoti ccm hivi mnataka muambiwe nini ili muamini kama ccm nchi imewashinda? Au ndo 2seme sikio la kufa huwa halisikii dawa!!
 
Back
Top Bottom