Demu wa " UDOM" afungashiwa zawadi ya matambara machafu na mume wa mtu!

Kuwa km unavyojisikia na sisi tutakuwa the way we want to be lakini si kwa ushawishi kwa kuwa km wewe uliingia chaka si wote tutakuwa hivyo,taratibu kwa step mambo yatanyooka.
 
Dah si lazima kuwa msichana mmoja akiwa nyumba ndogo ni wote, na mnapigaje stori za hivo? Dah ni kama mlikua mnamsengenya huyo dada,
 

Mleta Uzi Yuko katika FOOLISH AGE ......... Sishangai sana hichi kipindi KINA challenge sana hasa katika maamuzi ya kuchagua uskilize nini na useme nini pole sana!
 
demu wako mbeaaa,au mkikaa we na demu wako kazii kuongelea wengine,mnaacha kuongelea penzi lenu mnaadisiana ukuda na umbeaaa,kijanaa chungaaaa
 
karibu jamvini ila story za kidaku/kimbea za kina dada acha bhana,ila mambo hayo vyuoni ni kawaida sana
 
Back
Top Bottom