Demu unamfeel halafu uwanjani mambo yanagoma, utafanyaje?

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,514
11,277
Jamani hili tatizo halijanitokea ila huwa najiuliza kama ikitokea Binti ambaye mtu unamfeel kupita kiasi siku anapokubali kula tunda na wewe halafu kufika ndani lahaula, jogoo linagoma kabisa kuwika bila sababu za msingi au labda kwa sababu ya uwoga. Na wakati akishaondoka tu jamaa anakuja juu na mihasira kibao mpaka unasikia maumivu.

Je ilishawahi kukutokea? au kama ikikutokea utafanyaje?

Manake kwa uzoefu wangu wa stori za vijiweni nimewahi kusikia kuwa hii hali hutokea sometimes.
 
Unazungumzia mambo ya zinaa bila woga wowote kwa Mungu wako aliyekuumba?
 
Unazungumzia mambo ya zinaa bila woga wowote kwa Mungu wako aliyekuumba?

Lengo ni kubadilishana mawazo na kusaidiana kwa namna moja ama nyingine, pamoja na kumwogopa Muumba pia inatupasa tumshukuru kwa kutupatia uwezo wa kujadiliana kuhusu maisha..
 
Hii ingependeza ingekuwa kule kwenye mambo ya wakubwa hapa mchanganyiko sana.
 
...hali hiyo inaitwa mfadhaiko, hata wanawake na wanandoa (wengine) huwatokea siku ya kwanza... "mkamia maji hayanywi!"
Mbaya kujilazimisha, unaharibu kabisaaaa....

Calm down na mjipange upya.
 
Lengo ni kubadilishana mawazo na kusaidiana kwa namna moja ama nyingine, pamoja na kumwogopa Muumba pia inatupasa tumshukuru kwa kutupatia uwezo wa kujadiliana kuhusu maisha..

Ogopa zinaa (uzinzi, uasherati, ulawiti, etc) ndugu yangu, ni machukizo makubwa sana mbele za Mungu!
 
Mzee akigoma huna la kufanya. Ni kumuaga tu huyo uliyemfeel na kuondoka zako, sasa kama jogoo haliwiki utafanyaje?
 
Jamani hili tatizo halijanitokea ila huwa najiuliza kama ikitokea Binti ambaye mtu unamfeel kupita kiasi siku anapokubali kula tunda na wewe halafu kufika ndani lahaula, jogoo linagoma kabisa kuwika bila sababu za msingi au labda kwa sababu ya uwoga. Na wakati akishaondoka tu jamaa anakuja juu na mihasira kibao mpaka unasikia maumivu.

Je ilishawahi kukutokea? au kama ikikutokea utafanyaje?

Manake kwa uzoefu wangu wa stori za vijiweni nimewahi kusikia kuwa hii hali hutokea sometimes.

mbona inatokea tu hii hari mara kibao..unaleta visingizio visivyo na maana unaahirisha game unajipanga upya..mimi kama mimi game ya kwanza napenda kupiga tungi kiaina kupata mzuka flan siunajua tena mambo haya maandalizi muhimu..then nikimzoea kisaikolojia mambo kama kawa magoli ya torres tu..mbili tatu bila kokolo.
 
jamani hawa wanokataa kudiscuss haya maswala kwa kujidai eti kumwogopa Mungu ni wanafiki, ni bora tukadiscuss ili mtu ajue kuna hili na lile lipi linakubalika na lipi halikubaliki. Ina maana ninyi hamjawahi kuzini mpaka mlipooa? kwani huyu mtoa mada amesema kuwa watu waende wakajaribu? Hebu tuheshimu mawazo ya wengine kama unaona haikuhusu unaipotezea. wengine tunapata elimu hapa. Sasa tungeyajua wapi kama hata siku ya ndoa mambo huwa yanashindikana?
 
...hali hiyo inaitwa mfadhaiko, hata wanawake na wanandoa (wengine) huwatokea siku ya kwanza... "mkamia maji hayanywi!"
Mbaya kujilazimisha, unaharibu kabisaaaa....

Calm down na mjipange upya.[/QUOTE] I like this......wajipange eti!
 
Duu..kaka hiyo huwa inakuwa noma kishenzi....mi ishankuta mara 1 yaani duu..but sometimes la kwanza sekunde ya tano au sita alafu duu ndo bado kabisa ....anakwambia unamuaibisha....yaani...But muakikishie kuwa utampa v2 vya hatari mpaka ataridhika then gain momentum and weka mpira kati....poa m2 wangu
 
Back
Top Bottom