Dege Village, Kigamboni, waliokula na kuufisadi mradi huu hawajulikani, mradi umebaki magofu!

Asante kwa taarifa mkuu.
Mradi umeizwa kwa nani?
Na hatua za uuendeleza ziko vipi.

Unaweza sema wewe halikuhusu , lakini mradi una occupy space and time ya wananchi!
Na nini matarajio?

NSSF DG last year alitangaza kabisa mradi umeuzwa kwa amount hizo za tshs 501 bil, of course tender bidding ilifanywa open kabisa but aliyenunua hatasemwa ni nani, yaani mnunuzi hajatajwa ni nani, hakuna anayemjua zaidi ya NSSF tu, sijui ni makubaliano na mteja wao au, maana mradi mkubwa kama huu wa serikali ukiuza sbb ni mali wa serikali ingefaa mnunuzi awekwe wazi, wananchi wajue, but it ended just that way, haya mambo magumu sana.
 
Halaumiwi tena aliyefisidi, analaumiwa Magufuli. Wewe ni shetani
Tumia akili ngosha...Magufuli kakataa kuendeleza alijuwa atasifiwa Kikwete, yaani kama vile Samia aachane na miradi yote ya Magufuli ili aanzishe yake asifiwe... Njoo Mafia huku uone Meli bovu alilonunua Magufuli kwa mamilion na kudanganya kuwa ni mpya..tuamke
 
Mradi huu ni wa serikali kwa kupitia Taasisi zake.

Aliyeufisadi hajulikani.

Na mwenye mradi hajulikani, lakini fedha zilizotumika ni za Watanzania.

Sikumbuki kama kuna mtu yeyote aliyechukuliwa hatua kwa kufeli mradi huu.

Bunge lipo na Spika wake, na mwenye mradi serikalini yupo.
WEWE NDIO HUWAJUI WALIOUFISADI MMOJA KAPEWA UBALOZI alikuwa Mkubwa pale NSSF
 
Miradi mingine haina sustainability yaani MRADI ndio Mradi watu kupiga Pesa..., Na Kwa sasa miradi inavyoanzishwa kila dakika tegemea maumivu ya hali ya juu...

Nikuulize tu ni nyumba ngapi kwa sasa ambazo zimeisha na hazina wateja (the can't afford them) ?

Miradi kama hii ya kifaida sio ya Serikali kujihusisha moja kwa moja Pesa itapigwa tu..., Kama huo mradi unalipa kwanini wasitokee wawekezaji wauchukue na kuuendeleza ? By the way last time I checked si kuna watu walinunua ?
 
Mkuu hiyo project haikuwa na ufisadi kwa kiwango cha kusimama na kubaki magofu bali ni kukomoana pamoja na kuanguka kwa biashara ya real estate inchini.
 
Ni hivi project kama hii ni long term; Kwa Taasisi ya Mafao yenye pesa za watu kuingia kwenye business kama hii ni hatari sana..., wangeweza kuwakopesha private entities ili wachukue hio risk (Kwa vitu vya UMMA safe investments ndio way to go)

Na katika mradi kama huu kitu chenye gharama kubwa sana huwa ni ardhi (Land) sasa kama project ilikuwa na potential na ardhi tayari ipo, BOQ ipo, Ramani Michoro ipo, Potential Wateja Wapo ? Sasa kwanini tunao private investors wa kutosha kwanini wasichukue huu mradi na kuuendesha ?

Hivi unajua hata mradi kama huu ukishaisha na likabaki suala tu la kuwapa watu funguo ili waweze kuhamia bado inawezekana ukafa kifo cha Mende na Pesa isirudi ? Je Bongo watu wana buying power ya kuweza kuishi / kulipa pesa itakayotakiwa hapo ili developers warudishe na kupata pesa yao ?
 
Attachments

  • 1712837341072.png
    1712837341072.png
    306.8 KB · Views: 1

Mkuu hapo unaongelea feasibility ya huo mradi ama pre-investment. Huko tulishatoka na kinachotakiwa ni kuukwamua usiendelee kuoza. Zinatakiwa constructive ideas ili tusongo.
Remember kipindi kile projects zinaanza kujengwa tulikuwa na mzunguko wa pesa wa hajabu sana, apartments nyingi zilikuwa zinanunulia hata kabla mkandarasi hajaingia site.
Tu-solve hili lililopo mbeye yetu while tukizuia mengine mapya of the kind
 
Hilo ndio la maana zaidi kwa upande wangu feasibility ya huu mradi ilikuwa risky Hususan kwa kutumia pesa za pensioners directly na risky yake ni soko lake je ni la uhakika ? Na nadhani huu mradi si umeshauzwa kuna watu wamenunua (tena huenda kwa Bei Chee) sasa kwanini wasiuendeleze ?

By the way kuna msemo unasema Throwing Good Money After Bad..., Sometime unaamua just to cut your Losses....
Remember kipindi kile projects zinaanza kujengwa tulikuwa na mzunguko wa pesa wa hajabu sana, apartments nyingi zilikuwa zinanunulia hata kabla mkandarasi hajaingia site.
Tu-solve hili lililopo mbeye yetu while tukizuia mengine mapya of the kind
Real Estate hata kuna Kipindi States kabla ya Global Financial Crisis nyumba zilikuwa zinaondoka kama njugu na watu kuchukua mortgage kila leo ila leo yako wapi (watu waliuza mortgages kwa watu wasio na uwezo ili wapate commissions) mwisho wa siku for-closures kila kona...

Kwahio kwa Serikali kama inataka kujikita kwenye haya mambo (kumbuka serikali faida kwao sio monetary pekee bali hata services kwa wananchi wake) basi iweke miundombinu ya maana na kujenga affordable flats zenye miundombinu (maji n.k.) ambazo mtu wa kawaida anaweza ku-afford na ambapo risky sio kubwa kivile.... These risky and luxurious endeavors tuwaachie private sectors (fully).....; By the way ndio ilikuwa Mission ya NHC lakini ndio hivyo tena na wao wamejikita kwenye real estate ya kushindana na private sectors badala ya kuhakikisha affordable housing kwa majority.....
 
Hilo ndio la maana zaidi kwa upande wange feasibility ya huu mradi ilikuwa risky Hususan kwa kutumia pesa za pensioners directly na risky yake ni soko lake je ni la uhakika ? Na nadhani huu mradi si umeshauzwa kuna watu wamenunua (tena huenda kwa Bei Chee) sasa kwanini wasiuendeleze ?

By the way kuna msemo unasema Throwing Good Money After Bad..., Sometime unaamua just to cut your Loss....

Real Estate hata kuna Kipindi States kabla ya Global Financial Crisis nyumba zilikuwa zinaondoka kama njugu na watu kuchukua mortgage kila leo ila leo yako wapi (watu waliuza mortgages kwa watu wasio na uwezo ili wapate commissions) mwisho wa siku for-closures kila kona...

Kwahio kwa Serikali kama inataka kujikita kwenye haya mambo (kumbuka serikali faida kwao sio monetary pekee bali hata services kwa wananchi wake) basi iweke miundombinu ya maana na kujenga affordable flats zenye miundombinu (maji n.k.) ambazo mtu wa kawaida anaweza ku-afford na ambapo risky sio kubwa kivile.... These risky and luxurious endeavors tuwaachie private sectors (fully).....; By the way ndio ilikuwa Mission ya NHC lakini ndio hivyo tena na wao wamejikita kwenye real estate ya kushindana na private sectors badala ya kuhakikisha affordable housing kwa majority.....
Kuna kipindi tulipoteza dira. NHC nayo imepoteza dira pakubwa sana. Tunahitaji moja ya zile 4R ya mama (reform) kwenye affordable housing.
Kuhusu kuhuzwa kwa Dege bado kuna mashaka, isije kuwa ni the same trick iltumika ya mv Bagamoyo
 
NSSF DG last year alitangaza kabisa mradi umeuzwa kwa amount hizo za tshs 501 bil, of course tender bidding ilifanywa open kabisa but aliyenunua hatasemwa ni nani, yaani mnunuzi hajatajwa ni nani, hakuna anayemjua zaidi ya NSSF tu, sijui ni makubaliano na mteja wao au, maana mradi mkubwa kama huu wa serikali ukiuza sbb ni mali wa serikali ingefaa mnunuzi awekwe wazi, wananchi wajue, but it ended just that way, haya mambo magumu sana.
Inaweza kuwa danganya toto, kufunika kombe wanaharamu wapite!
Inawezekanaje uuze mali halafu hakuna chochote kinachoendelea, na mnunuzi yuko mfukoni kwako.
Fiksi hizi!
 
Back
Top Bottom