Decor

Kaniki1974

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
352
22
Wakuu,
Nimesaidiwa mara nyingi hapa. Shukrani za dhati kwa JF team. Asanteni sana wote pia. Ninaomba kusaidiwa zaidi.

Ninatafuta wataalamu /professionals wa interior & exterior design na landscaping, pools and gardening. They must be reliable and exprienced professionals. Ningependa zaidi kufanya kazi nao kama individuals sio kiofisi. Kazi itafanyika DSM. Serious guys, please ni PM au hata acha contacts hapa.

Kama kuna mwanafamilia wa JF anawafahamu watu au hata makampuni ambayo wana reasonable/rational/justifiable costs, nitashukuru kuwafahamu pia. Asanteni tena.
 
Kuna jamaa mmoja huwa namuona sana pale millenium ni interior designer anaitwa kama sikosei Kevin Mosha nafikiri naona nikijana mahiri kaulize pale kwenye cafe millenium makumbusho karibi na Steers huwa hakosekani hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom